Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua Ibada ya sanamu ni nini Mara nyingi watu wamedhani kwamba ibada ya sanamu ni kuweka kinyago hapo mbele yako na kuanza kukiabudu. Kwa upande mwingine...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Madalali ni watu wabaya sana. madalali hawana UTU kabisa. ...... Usipokuwa makini Dalali anaweza kukuuzia kitu cha laki 1 kwa shilingi laki 3 ....
6 Reactions
12 Replies
590 Views
Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao?
1 Reactions
4 Replies
254 Views
Kesi ya Ardhi namba 6075/2025 ya Ghorofa lilloanguka Kariakoo itaendelea leo juni 27, 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi, Dar Es Salaam. Kesi hiyo inawahusu walalamikaji...
2 Reactions
1 Replies
340 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka...
0 Reactions
5 Replies
583 Views
1. Umri wa mteja (moral decay) 2. Lugha ya mteja,(moral decay) 3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha. 4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
0 Reactions
3 Replies
382 Views
Leo nimeenda kwenye moja ya ATM za CRDB Bank nikiwa na nia ya kutoa fedha kiasi cha 200k+. baada ya majaribio kadhaa ya kujaribu kutoa kiasi hicho ambacho nilikuwa na uhakika ninacho kwenye...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri...
4 Reactions
8 Replies
708 Views
Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na...
0 Reactions
8 Replies
539 Views
Jana mmetoa tarifa ya sababu ya watu kupotea , kutekwa, kufa na mengineyo kama hayo. Swali kuu: Kwanini wanaopatwa a sanabu mlizozitoa wengi wao, naweza kusema 99% ni wafuasi/wanachama/wapenzi wa...
3 Reactions
54 Replies
1K Views
https://vm.tiktok.com/ZMSHAXwhL/
2 Reactions
7 Replies
269 Views
https://www.instagram.com/reel/DLZIrlePDWy/?igsh=MXU4N293NW02OG82cg==
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Ulevi ni janga na Changamoto inayokabili watu wengi sana.Ulevi huwa unaathiri familia na maisha ya watu. Katika kukabiliana na Changamoto hii ninakusudia kuanzisha Jumuia za Walevi wanaotaka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu...
2 Reactions
4 Replies
260 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa...
9 Reactions
73 Replies
7K Views
📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
0 Reactions
3 Replies
551 Views
Any kind of existence that cannot co-exist with the most highest level of existence must decease existing. And any thing in nature that cannot co-exist with mother nature must die Sheria...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) ! Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom