WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI
📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza
📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala
📌REA kuwajengea uwezo...
Akili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye...
Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania Waishio Nchini Norway
Lengo:
Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora.
Washiriki:
Diaspora wa Tanzania waliopo nchini Norway...
"Kijana, ukiyakimbia maisha kama mkimbizi, jiandae kupokewa na maafa. Maana mwisho wa safari unaweza kuwa mzee wa hovyo asiye na hadithi ya maana." — Alloyce, P.R.
Zanzibar
Na, Zurima Ramadhan
Waandishi wa habari wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za wanawake wanaowania nafasi za kisiasa kwa kuhakikisha kuwa vitendo vya ukatili dhidi yao...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo
"nitoe rai kwa kila mmoja wetu...
PICHA HII ILIPIGWA JANUARY MWAKA 2010.
,, Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya
wakati huo akiwa Waziri wa maji na...
1: HOFU YA KIBINADAMU
Hii ni hofu ya Asili ya mwanadamu. Historia ya kiroho inaonyesha hii hofu haikuwepo kabla ya Adam na Eva kula tunda. Iliibuka tu baada ya wao kuanza kumkimbia Mwenyezi Mungu...
Maisha ya mwanadamu ni mazuri sana but only if you believe on " Likud's philosophy of life".
If you actually want to be happy in this world, then your life should move in the direction of...
Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa wizara (Dicastery) ya Mashirika ya Kitawa ya Maisha ya Wakfu na Mashirika ya Maisha ya Kitume...
Habarin wakuu
Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani..
Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu...
Jamaa wanatuzidi kila kitu. Viwanda, majengo, democracy, elimu, wananchi kujitambua sio kuwa makondoo, airforce, thamani ya pesa ndio Usiseme. Sisi tujifananishe na Burundi labda na Uganda. Ila...
Mwanza ndio Jiji la pili Kwa ukubwa Tanzania lakini miundombinu yake ni AIBU. Hasa nyamagana na Mbunge ni yule yule miaka na miaka.
Mwanza, Haina taa za Barabarani. Ukitoka mjini, taa utakuja...
Kuna siku nilikutana na jamaa mmoja mfanyabiashara anasafiri sana nje, anasema alikutana na mzungu siku Moja akamwambia Tanzania pananuka. Yeye anasema aliona kama Yuko offended lakini alipata...
Binadamu wa sasa hatuna capacity ya kupima matokeo(consequences) mipango (means) yetu imekuwa ya kijanja janja mno kitu ambacho kinafanya tujiumize na kuteseka mno,tunapenda kuiga mambo na...
Wakuu habari za wakati huu, natumaini mko vizuri.
Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke.
Kuna muda nakaa chini na kushangaa ni kitu gani hasa kilitokea/kubadilika kwenye kipindi cha...
Kwa huzuni sana Hawa watu hawana huruma yaani ni wakatili mno.
Kweli tumelipia dawa miezi yote hii halafu tunaambiwa eti kiwanda kinachotoa dawa kimesitisha kuzalisha nyie watu nyie muogopeni...
Access bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei.
BoT wanahitajika hapa ili...
Roho yako inasemekana kuwa untouchable haifikiwi na aina yoyote ya force ulimwenguni na beyond, hata kinachoendesha maisha yetu ni zawadi ya uhai tuliyonayo na kile tunachoweza kuki-offer tu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.