Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

✅ Jenga Mahusiano, Sio Mitandao Tu Lenga kuunda uhusiano wa kweli, si kuokota namba za watu kwa ajili ya fursa. ✅ Toa Kabla ya Kuomba Toa thamani kwanza—ndipo uaminike na kuheshimiwa. ✅...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Je, Soko la Hisa la Kidijitali Linalotumia Blockchain Litaweza Kuleta Mapinduzi Barani Afrika? --- 🌍 Changamoto za Upatikanaji wa Masoko ya Hisa kwa Waafrika Katika bara la Afrika, upatikanaji...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
na ulijihisije kama una Phd au. Na unaichukuliaje. Na watu wote wakiwaza hivi itakuwaje. Je, kikundi cha watu kinawangenezea watu wengine namna ya kufikiri tokea wakiwa wadogo(mfumo) ili baadhi...
3 Reactions
0 Replies
127 Views
Habari zenu wakuu, Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye...
7 Reactions
96 Replies
6K Views
Wasalam... Mda huu nimetoka ota ndoto ya ajabu sana.. ila nasemaje Kama kijana ambaye unategemea kuja kujikwamua katika cheni ya umasikini jua Umasikini ulionao sasa hvi unasababishwa na mfumo wa...
19 Reactions
63 Replies
3K Views
Katika mfumo wa ticket wa Safari za treni yetu ya mwendo kasi, nimebaini kuwa tickets zimegawanywa katika makundi mawili kwa kuzingatia umri wa abiria: Mtu mzima Na mtoto. Kwa mujibu wa TRC, Mtu...
0 Reactions
6 Replies
492 Views
Unajua kama ukianza kusave milion moja kila mwezi maisha yako yote yaliyobaki hutapata bilion? Chatgpt ameshauri hivi Kupata bilioni moja au zaidi kwa haraka nchini Tanzania si rahisi, lakini...
1 Reactions
11 Replies
961 Views
Anonymous
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Nisipomshukuru Rais Samia kwa jambo hili nitakuwa Nina pepo wachafu. Mungu akulinde. October ushinde tena. Wapinzani tutachukua nchi 2030 baada ya kuondoka wewe. Ndani ya miaka 7 ya utawala wa...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Hi Mada ni ya wana zuoni wa theology tu, mumini (fanatic) sio yako. Paulo alidai kuwa alikuwa Farisayo, na tunamwamini: “Paulo alipoona kuwa kundi moja ni Masadukayo na jingine Mafarisayo...
1 Reactions
45 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoeleza, msaada please
1 Reactions
49 Replies
26K Views
Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa...
11 Reactions
127 Replies
10K Views
Ingawa tumekuwa tukifundishwa kuoga kila siku, utafiti wa kisayansi unaonesha kuwa sio lazima! Kwa mujibu wa madaktari wa ngozi, kuoga mara 2 hadi 3 kwa wiki kunatosha kabisa – isipokuwa tu kama...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Kutana na jamaa mmoja anaitwa Danny Manu mbunifu wa masuala ya Teknolojia Toka Ghana na Uingereza aliyefanikiwa kuunda vifaa vya sauti vya masikioni yenye uwezo wa Kutafsiri lugha zaidi ya 40+...
2 Reactions
6 Replies
604 Views
Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali ! Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye...
4 Reactions
68 Replies
3K Views
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 26/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
2 Reactions
0 Replies
472 Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo, Wananchi wa Buchosa wamemshukuru...
2 Reactions
4 Replies
359 Views
Raia sita wa Tanzania wakiwemo watoto watatu, wamerudi nyumbani kutoka Israel baada ya serikali kuchukua hatua ya kuwarejesha nchini, kutokana na hali ya hatari iliyoko nchini humo. Soma Pia...
0 Reactions
4 Replies
369 Views
Kuna muda usiutese moyo kitu kama dini sijui kabila au team unaweza kuhama na maisha yakaendelea poa tuu Ni ushauri tuu Muwe na jioni njema
4 Reactions
16 Replies
760 Views
Tabia zinazohusishwa na baadhi ya "machawa" wa CCM mtandaoni: 1. Kutetea chama bila kuangalia hoja – Hata kama chama kiko wazi kimeteleza, bado hutetea kwa nguvu bila mantiki. 2. Kushambulia...
2 Reactions
4 Replies
388 Views
Back
Top Bottom