Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook
Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja,
Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16...
Baadhi ya Watu ambao wanajitambulisha kuwa wao ni Askari Polisi wakishirikiana na baadhi ya Mgambo, usiku wanapita katika maeneo ya wazi kama Viwanjani na kukamata Watu ambao watakuwa wamesimama...
kwanza tunasimama bila mpangilio kwenye kuweka hela kwenye kadi.maaana mwenye nguvu ndio anaweka hamna utaratibu wa folen.walizn wenu wapo ndan wanacheki azam tv. feni haziwak kama leo.
mnajua...
Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk
Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda
Huwapo...
Jinan, China – Juni 2025
Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano...
UTAPELI WA ITIKADI KALI:
IRAN YA UKWELI:
Majenerali chali
Nyuklia chali
Mifumo ya kifedha chali
Mitambo ya silaha chali
Wanasayansi wa nyuklia chali
Trust ya wananchi chalii
Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema:
"Tumemkamata mtu mmoja wa Ubelgiji lakini pia ni raia wa Burundi. Amekwenda kuchukia mzigo huko kwao, anapitia Tanzania ili ndiyo aende Ubelgiji. Sisi...
Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira...
Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika!
Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low)
Mifumo yote...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Kuna tofauti kati ya leader (kiongozi) na boss.
Boss ana miliki chombo ambacho anawalipa nyie msaidie kukivusha ili anufaike zaidi ila kiongozi anasaidiana na nyie kukisukuma chombo ambacho...
Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote.
Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi.
Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi...
Kabila la Bajau ni kundi la watu wa asili wanaoishi zaidi Kusini Mashariki mwa Asia ya Baharini, wakipatikana sehemu za Ufilipino, Malaysia, Indonesia, na Brunei. Wanaishi maisha yanayohusiana...
Kama Mungu ana nguvu zote na muweza wa yote kwanini Kuna mabaya duniani kwanini asingefanya dunia iwe ya mema tu?
Vipi kama Mungu angefanya iwe ya mema tu watu kama hao wakauliza kwanini yawepo...
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi...
Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya...
Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,,
Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa...
Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya..
haya tuachane na hiyo😊
Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.