Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,718
- 12,399
Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini?
Kama ni kigezo cha dini kila nchi au taifa Lina utaratibu wake wa kuabudu katika mipaka yake bila kuingiliwa na taifa lingine vita zanini?
Vita zilikuwa enzi za ujima ambapo watu walikuwa wanatumia nguvu zaidi kuliko akili ni ajabu sana kuona mataifa bado yanaendekeza vita katika kutatua changamoto zinazohitaji akili ndogo tu