Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,770
- 4,912
NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JUNI 28/2025:
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
jumamos hii ni nzuri kwako ingawa una ahadi nyingi una ahidiwa ambazo hazitekelezeki nivyema ukatafuta njia au ufumbuzi kwakuwa nyota yako jumamos hii ni nzuri kwako hivyo usiwe unapenda kufuata upepo nivyema uwe unafanya maamuzi wewe kama wewe ilikusudi upate nguvu katika mambo yako na mipango yako.
•Leo ni siku ya kuachilia vizuizi vya ndani kupokea mwongozo wa kiroho na kufanya maamuzi yatakayokufungua kiakili na kimaisha tafuta kundi lako hapa chini.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
jumamos hii ni nzuri kwako ila nyota yako inaonyesha kutawaliwa na madeni mengi pia umekuwa mtu ambae unaepata pesa lakini hazikai na huenda huelewi sababu inawezekana pia uadui ulio nao ndio chanzo cha yote hayo pia inawezekana watu wanao cheza na nyota yako ndio sababu inayokufanya ushuke kila siku ni jumamos nzuri kwako ya kutafuta ufumbuzi ili uweze kuweka mambo yako vizuri huenda madeni ulio nayo yakakukosesha furaha.
•Ukisikia hofu kumbuka mara nyingi mwanga upo upande mwingine wa hofu hiyo.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Siku yako imejaa nguvu ya maamuzi makubwa Ikiwa unawaza kuhusu kazi biashara au uhusiano leo ni siku ya kuchukua hatua ya ujasiri.
•Upepo katika uhusiano wako wa kimapenzi unaonekana kukaa vizuri vile vile unashauriwa kumshikilia huyo mpenzi ulie nae ingawa kuna changamoto za hapa na pale lakini huenda huyo akawa mpenzi au mwenza wako wa kudumu.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Unaweza kupata uthibitisho wa jambo ambalo limekuwa likikusumbua mtu mwenye hekima au mkubwa kiumri anaweza kuleta nuru leo.
•Inaonekana mapenzi kwako imekuwa kero huenda unajiuliza una nuksi gani isio isha na kwanini hupati furaha ya kudumu katika mapenzi jibu inawezekana unalo jaribu kukaa na kufikiria sana huenda ukapata ufumbuzi usio utegemea.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Kazi zako zitaenda kwa uzito sana na ili zifanikiwe lazima utumie nguvu kuhakikisha kufanikiwa kwake.
•Huenda umesahaulika kabisa katika mahusiano yako ya kimapenzi inawezekana kuna uwadui mkubwa sana katika mapenzi yako na huenda wewe unajuwa uwadui huwo unatokea wapi hivyo nibora kujiweka sawa na kutafuta ufumbuzi wa sawa sawa ili uwadui ulio nao upate kuondoka.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Kazi zako zinaonekana kwenda vizuri ila mapokeo ya watu na ofisi hayatakuwa mazuri kwako licha ya kuonyesha bidii kubwa dhidi ya hilo.
•Inawezekana tatizo unalijuwa ndio maana unashindwa kufanya maamuzi huenda mpenzi wako ana nafasi kubwa sana katika moyo wako yani unampenda kupita kiasi lakini hujui kwamba kuna jambo lililojificha mbele yako kwanini unaendekeza mapenzi yasio na furaha ingawa furaha unayo ipata ni kidogo lakini unashauriwa utafute ufumbuzi katika hili huenda ukapata furaha ya kudumu.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Kazi zako ni nzuri na zipo katika hali nzuri licha ya maneno maneno lakini hakuna madhara yoyote dhidi yako kwa sasa kutokana nguvu kubwa inayokulinda kutokana na kikubwa ulichokitoa miezi kadhaa iliyopita unasimamiwa mengi na vingi hivyo jivunie kuwa salama.
•Matarajio yako kwamba ni kufanikiwa katika ile mipango mbali mbali ya kimapenzi unayo ipanga wewe na mwenza wako ingawa kutakuwa na changamoto za hapa na pale lakini utafanikiwa sana changamoto ndogo ndogo hazitakosekana katika kutekeleza mambo yako kikubwa omba mungu sana ili uweze kupata wepesi katika majambo yako.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Jumamos hii usiwe na pupa katika mambo Fulani ambayo unatarajia mafanikio kutoka kwa mtu Fulani au watu Fulani nivyema ukawa na subra huenda pupa zako na haraka haraka zikaharibu baadhi ya mambo yako unayoyatarajia kukamilika.
•Safari zako zina kheri na usipuuzie mambo kila kitu kitaenda vizuri.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Utapata vimaudhi vya hapa na pale asubuhi ya leo na siku itakuwa chachu upande wako tamu si tamu chungu si chungu.
•Usifanye haraka katika kufanya mamuuzi kwenye mahusiano yako ya kimapenzi ingawa inaonyesha dhahiri kuna jambo linakusumbuwa unahitaji kulitolea maamuzi lakini unashauriwa kutulia maana ukiwa na pupa unaweza ukajikuta unatowa maamuzi yasio sahihi halafu baadae ukaja kujilamu.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Kazi zako zitaenda vizuri na utafaidika kwenye biashara zako leo ishi vizuri na wateja wako kuna faraja kubwa itakupata kazini leo.
•Kwasasa subra na misimamo yako ndio vitu vya muhimu kwako usiyumbe katika misimamo kwakuwa nyota yako inaonyesha una nafasi kubwa sana ya kuweza kufanikiwa mipango yako unayo ipanga katika mahusiano ya kimapenzi.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Inawezekana ni mtu mwenye bahati lakini kunakuwa na uzito mkubwa sana katika kufanikisha mambo yako kwasababu umekuwa mtu wa kudharau mambo madogo madogo hivyo kudharau kwako mambo madogo madogo baadae hufanya jambo dogo kuwa kubwa jitahidi kusimama kwenye misimamo ingawa wewe ni mtu wa kigeu geu ukipanga hivi Leo kesho unapanga vingine.
•Utapata habari njema sana leo na mahusiano yako yatafunguka zaidi na utapata marafiki wapya zaidi na haja zako zitatimia kwa wepesi mkubwa zaidi.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
jumamos hii unashauriwa uwe na mipango mizuri katika swala la kudumu katika kazi unayo ifanya usiwe mtu wa kuwaza sana huenda msongo wako wa mawazo ukakuweka katika wakati mgumu na ukashindwa kutekeleza malengo yako kwampangilio.
•Mahusiano yako yamejaa giza kwa sasa na usijihusishe na mahusiano yasiyoeleweka au yanayotumia nguvu zako kubwa yatakuletea athari mbaya mwilini.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.