Njia nitakazotumia kupunguza deni la taifa

Njia nitakazotumia kupunguza deni la taifa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,801
Reaction score
7,483
Deni la Taifa limekua sana na kila mtu analalamika kivyake lengo la uzi sio kutupia lawama sehemu yeyote ile bali kuja na siluhisho

Mimi nina mpango wa kuwa Rais wa Tanzania zifuatazo ni njia ntakazotumia Kupunguza ukuaji wa deni la Taifa
  1. Kupunguza kodi (mfano VAT asilimia, corporate tax asilimia 8, individual income tax asilimia 5 flat rate/proportional tax)
  2. Kupunguza mishahara ya wabunge na kuwa million 7 take or leave it
  3. Kuondoa mikopo ya gari kwa wabunge wakitaka magari watanunua kimpango wao kama ilivyo kwa watumishi wengine
  4. Kupunguza misafara ya viongozi na kuwa midogo
  5. Ni kosa la jinai kwa watumishi wa umma kufanya kazi nje ya ofisi kwa malengo ya kufosi per diem lazima uwe na sababu za msingi
  6. Miradi yote mikubwa kama treni, barabara, flyover itafanywa na makampuni ya watanzania Hakutakuwa na compromise lengo kuhakikisha fedha yote inayotumika kwenye ujenzi ambayo ni nyingi sana inabaki Tanzania ili kubost Multiplier effects. Imagine zile Trillion 15 na zaidi zilizotumika kuwalipa makampuni ya nje zingebaki hapa Tanzania ni wazi zingeboost ukuaji wa uchumi
  7. Magari ya serikali yatakuwa yananunuliwa mara moja kila baada ya miaka 5 na sio kila mwaka kama ilivyo sahivi
  8. Serikali kufanya biashara, ukienda nchi za gulf moja ya mafanikio yao ya haraka sana ni pale Serikali zao zilipofanya biashara mfamo mashirika ya Emirates, etihad, oramco ceo wao ni wazungu. Kwa Tanzania mashirika kama ya TANESCO, MWENDOKASI, MIGODI N.K maceo wao watakuwa ni foreigner ambao watawekewa target lengo ni kuhakikisha yanakuwa na faida na inabaki hapa Tanzania
 
Mpaka sasa umeshagombea au kushika nafasi zipi za uongozi Rais wangu wa baadaye ili tukupime kwa kidogo kabla ya kuhodhi madaraka hayo makubwa?
 
Good idea

Ukiweza kuondoa government Unecessary Expenditure.

Basi Tambua hii nchi itasonga mbele kwa kasi ya ajabu .

Kwakuwa ziara moja ya waziri au Rais unakuta inatosha kujenga zahanati mbili mpaka tatu

Huwa nashangaa jinsi teknolojia ilivyokuwa Ila unamkuta Rais anazunguka vijijini au waziri wakati ilibidi akae ofisini kwake na taarifa zimkute na kuzifanyia Kazi.
 
Watumishi wengi wa serikali wanatengeneza mazingira ya kufosi per diem sio wote ila wengi wanafanya hivyo
 
Pia kuna swala la Culture kumbuka kuna nchi hazina Mafuta wala Gas Ila ni nchi tajiri na zimefanikiwa mfano Venezuela .

Ila nchi Kama Congo , Hait ambazo zilibidi kuwa Superpower Ila zimeishia kuwa masikini na kuuana. The same Tanzania .

Swala la Culture Kama Rais lazima ujue culture ndo inaamua taifa liwe na watu wavivu , walevi , wachapa Kazi , wezi na wawaza ngono .

Ntaendelea ...
 
Watumishi wengi wa serikali wanatengeneza mazingira ya kufosi per diem sio wote ila wengi wanafanya hivyo
Ndo maana nimezungumzia nchi inahitaji reform kuanzia katika Culture.

Kwakuwa unapoiona sura ya Mtanzania unaona mwizi ,mpigaji ,mra rushwa n.k no ethics

Ikiwa tutahitaji tunabidi kuangalia culture zetu na kuzifanyia reform
 
Pia kuna swala la Culture kumbuka kuna nchi hazina Mafuta wala Gas Ila ni nchi tajiri na zimefanikiwa mfano Venezuela .

Ila nchi Kama Congo , Hait ambazo zilibidi kuwa Superpower Ila zimeishia kuwa masikini na kuuana. The same Tanzania .

Swala la Culture Kama Rais lazima ujue culture ndo inaamua taifa liwe na watu wavivu , walevi , wachapa Kazi , wezi na wawaza ngono .

Ntaendelea ...
Culture inabadilishwa na Rais mfano kabla Lee Kuan Yew hajawa waziri mkuu wa Singapore ilikuwa ni nchi flani iko hovyo sana

Ila Lee Kuan Yew alivyoingia na alivyotoka Singapore ni nchi mbili tofauti
 
Culture inabadilishwa na Rais mfano kabla Lee Kuan Yew hajawa waziri mkuu wa Singapore ilikuwa ni nchi flani iko hovyo sana

Ila Lee Kuan Yew alivyoingia na alivyotoka Singapore ni nchi mbili tofauti
Ikiwa utaanza na kubadilisha culture ndo utaifanya nchi kukaa katika mfumo wa kujiletea maendeleo.

Ningependa Leo ujifungie maktaba ujaribu kuandika kuhusu swala la culture
 
Back
Top Bottom