Napenda kuwasilisha malalamiko yetu sisi wakazi wa maeneo ya jirani na Kiwanda cha Bakhresa Food Products Limited kilichopo Mwandege, Wilaya ya Mkuranga, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam...
Orodha ya Makabila 125 ya Tanzania na Asili Zake!
1. Wahehe - Iringa
2. Wazaramo - Dar es Salaam, Pwani
3. Wasukuma - Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu
4. Wanyakyusa - Mbeya
5. Wairaqw...
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mabomu, Mvuleni – Msongola, Dar es Salaam, nina kilio ambacho naomba nikiwakilishe kwa Mamlaka yoyote inayohusika kwa kuwa nguvu yangu ya kupambana na hiki kinachotukabili...
Kiingereza kimenipiga chenga!
Hii sentensi niliisikia kutoka kwa chawa wa mama ambaye pia tuko naye humu alipokuwa akiongea kwa njia ya simu na mtu ambaye sikumfahamu.
Nadhani walikuwa...
Wakuu kwema, wajuzi wa mambo ya umeme msaada tafadhali. Kimsingi nyumba ninayoishi haijafikiwa na umeme wa tanesco na sababu ni mtaa ninaoishi umepitiwa na mradi wa Rea na mimi sikuwa mnufaika...
Wakazi wa kata ya soweto Manispaa ya moshi wanaoishi kwenye maghorofa sita ya Shirika la Nyumba la Taifa (HNC)kiwanja namba 89 Kitalu L barabara ya Arusha,wamepaza sauti wakipinga ujenzi...
Katika dunia ya sasa iliyojaa mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia, tunashuhudia mabadiliko pia katika namna ya malezi ya watoto. Wazazi wengi wa kisasa wamejikita katika kuwapatia watoto wao...
Siku Dotto Magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu Kinondoni, dawa, utapeli utajulikana.
Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
Sasa nakubali rasmi kuwa ni bora Umuamini Mwanaume mwenzako kwa 99% kuliko Mwanamke.
Na kama Wewe ni Mwanaume ambaye Umeona Mke kama Esther Bulaya jua kama ameweza leo kuikana na kuinanga CHADEMA...
Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya Wakazi wa Kawe katika Wilaya ya Kinondoni, hatimaye Kituo cha Mafuta cha 'Lake Oil' kilichokuwa kimejengwa karibu kabisa na makazi ya watu kimeanza kubomolewa...
Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani?
Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo?
Ni nani...
Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani.
Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na...
Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko...
Jinsi Maisha ya Mbinguni Yatakavyokuwa
Maisha ya mbinguni kwa Wakristo, kama Biblia inavyofundisha, siyo tu maisha ya kuishi milele bila mwisho, bali ni maisha yaliyojaa uwepo wa Mungu mwenyewe...
Good morning!
Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa.
Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani...
Mjadala kamili uko hapa
(6,958) Vichaa huona nini? | JamiiForums Vichaa huona nini?
Kwa ufupi ni kwamba kuna namna fulani macho yao hufunguliwa na kuona sisi tusivyoviona. Ama akili zao hugeuza...
Nawaza tu baada ya Mahakama ya Kenya kuamuru kuanzia sasa WATOTO wa kiislam waliozaliwa nje ya ndoa wana Haki ya kurithi Mali za baba zao
Hiyo hukumu ikifika magomeni na Tandika itakuwa balaa...
Sote tunajua mabasi mengi ya mikoani hutoka stendi saa 12:00 au 12:30 asuuhi kila siku.
Nimeamua kuweka wazi mambo muhimu ya msingi kwa wewe msafiri.
1. Kama wewe ni mtumiaji wa pombe, usilewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.