Sikujua mimi ni bahili mpaka nilipoona watu wengi wakiniita mbahili lakini mimi nilikuwa naonaga kawaida tu,
Imekuwa ni mazoea kwangu kuwa sensitive sana hata kwa utofauti wa bei ndogo, nahisi...
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda...
Tunazaliwa katika zama ambazo simu zimekuwa na akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii imepata ushawishi mkubwa kuliko wazazi au walimu, ikitoa maarifa yasiyoisha lakini bila hekima...
Habari wadau,
natumaini humu kuna wakuu wa fani Mbali mbali wanaoweza kunisaidia katika suala la Ardhi.
Niko Mkoani,Nimeenda Halmashauri ya Mji A.
Nimepeleka Maombi ya Kubadilishiwa Matumizi...
Tunaomba tusaidiwe hii wizara ya elimu walizindua kituo Cha huduma juzijuzi na wakatangaza ila ukipiga simu utakuta namba haipatikani au namba haipokewi tunaomba kusaidiwa kufikisha hii taarifa...
Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi.
Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa...
Ila Dereva wa Lori inaonekana kama vile hana cha kupoteza na ameshaamua liwalo na liwe Wakongo (akina Bandeko Nangai) wanasema Azomata Azomate..... Kudadadeki.
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana...
"Kila mtu anasema 'usimuamini mtu' – Je, jamii yetu na waajiri wa sekta binafsi wamepoteza misingi ya uaminifu?"
Ni kawaida siku hizi kusikia msemo:
“Usimuamini mtu – hata kivuli chako kinaweza...
Haya sasa wakuu
hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa...
Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi...
Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake.
Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini...
Hakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
My Take
Dar itapumulia mashine baada ya Mwanza The Rock City kuzindua Daraja refu Afrika Mashariki.
Hiki kichekesho kimeandikwa na hazeti la The Citizen 😁😁
---
Mwanza is poised to become a real...
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa...
Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi
Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa...
Wakuu,
Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata...
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.