Oliver Semuguruka anazaliwa kongole kwa Kagera

Mohamed Ismail

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
229
Reaction score
250
Anaandika Mo Mlimwengu.

Oliver ni nani?
Oliver ni yupi ?
Oliver wa wapi?
Hivi kwanini Oliver?.

Ni maswali ambayo watu wanajiuliza wakati mwingine wanajijibu wenyewe huenda wakakosea au wakapatia kwenye majibu yao. Mh Oliver Semuguruka kwanza kabla ya yote ni mwanadamu mwenye damu lakini tena ni mkazi halali wa Mkoa wa Kagera. Ukienda zaidi kwenye kitabu cha Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania unakuta naye ni Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera.

Kwanini Oliver anakuwa gumzo ? Hii ni kwasababu kwenye kamusi ya kiswahili neno mbunge Mh Oliver amekuwa maana sahihi ya neno hilo. Mlimwengu mimi ni mzurulaji ila nilichogundua mambo ambayo anafanya Mh Oliver kwa mkoa wa Kagera haijawahi kutokea. Kagera kwake ni nyumbani kwake na wilaya zote za Kagera anazihudumia ipasavvyo. Muleba wakikosa Chumvi atawapatia, Misenyi wakikosa kuni ataenda porini kuchanja, Karagwe wakipata kiu ataenda kuwatafutia maji, Bukoba wakilia ataenda kuwafuta machozi, Biharamulo wakicheka naye atajumuika nao kwenye furaha yao na Kyerwa wakipata tatizo yeye ndio mfumbuzi wa tatizo hilo.

Wanasema hakuna shujaa ambaye yuko hai ila Mlimwengu mimi nasema kwamba wewe ni a living hero. Moyo wako uko Kagera, macho yako yote umeyaelekeza Kagera, masikio yako yote yapo Kagera na hata pua zako umezielekea Kagera ziweze kunusa kile ambacho kinafanyika Kagera. Huenda watu hawasemi ila hadi sasa mioyo yao na kitabu cha kumbukumbu kitasema remember the name Oliver.

Baadhi ya watu wanaokujua au wamebahatika kukaa na wewe hawawezi kutenganisha moyo wako na Kagera. Mvua inyeshe na jua liwake siku zote ukiwa bungeni umekuwa ukiipambania Kagera. Wewe ni mbunge lakini watu wanajua hakuna mfuko ambao unapewa kwa ajili ya kusaidia watu ila wewe umekuwa mstari wa kwanza kwa ajili ya kuwasaidia watu. Leo hii watu hawakupigii makofi, leo hii watu hawakushangilii lakini yote wanajua kwamba ni desturi yako watakushangilia kwa lipi na watakupongeza kwa lipi? Wewe umegusa mioyo yao na matendo yako yote umeyaweka kwenye nafsi zao.

Oliver! Oliver! Oliver! Nakuita mara tatu. Kwanza nikutakie siku njema ya siku yako ya kuzaliwa na kisha naomba tumbo ambalo lilikuzaa wewe libarikiwe zaidi. What a human ? Wewe ni mtu na nusu, wakina mama walishaapa kiapo cha yamini kwamba ulipo wewe na wao wapo sasa sisi ni wakina nani tuwapinge.

Happy birthday Hon Oliver Semuguruka and congratulation Kagera.

IMG-20230726-WA0012.jpg
 
Uchawa ni dhana tu ambayo mtu anaifikiria kulingana na mtazamo wake.
Uchawa sio perception kwamba kila mtu ana insightful zake, no way. Na usidhani kama uchawa umeanza awamu hizi. Probably labda ulikuwa bado hujazaliwa ila 1993 kulizuka tabia ya “ukibaraka”, na kama taifa tukaipiga sana vita hadi ikaondoka or at least kila mtu akaichukia. Since 2016/17 hapo uvivu na ujinga vikafanya watu waanze tena kufanya uchawa which is a very weird behavior, and afadhali ufanye uchawa kwa watu wa maana sasa, unakuwa chawa wa mbunge, no fucking way it's going to make any sense, si bora ufanye tu kazi. A mere MP anifanye niwe chawa wake, Hell fucking No. Whatever it is that you are doing is so bullshit
 
Unawakilisha kizazi cha watu ambao ni waoga na hawafai kwenye jamii. Ndio maana mnatumia fake account kuelezea mambo yenu. Kama kweli mwanaume unasimama na kile unachokisimamia kwa identity yako.

Kutokana na ulichokisema na unachokiwazia niite Chawa niite whatever you like lakini mwisho wa siku nilichokisema nakimaanisha. Karibu sana Kagera ndio utaelewa ninachokimaanisha. Watu wana chuki ambazo zinapelekea kuchukia kila kitu. Ninaamini ndio upande ambao umeuchagua.
You are welcome
 
Anaandika Mo Mlimwengu.

Oliver ni nani? Oliver ni yupi ? Oliver wa wapi? Hivi kwanini Oliver?. Ni maswali ambayo watu wanajiuliza wakati mwingine wanajijibu wenyewe huenda wakakosea au wakapatia kwenye majibu yao. Mh Oliver Semuguruka kwanza kabla ya yote ni mwanadamu mwenye damu lakini tena ni mkazi halali wa Mkoa wa Kagera. Ukienda zaidi kwenye kitabu cha Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania unakuta naye ni Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera.

Kwanini Oliver anakuwa gumzo ? Hii ni kwasababu kwenye kamusi ya kiswahili neno mbunge Mh Oliver amekuwa maana sahihi ya neno hilo. Mlimwengu mimi ni mzurulaji ila nilichogundua mambo ambayo anafanya Mh Oliver kwa mkoa wa Kagera haijawahi kutokea. Kagera kwake ni nyumbani kwake na wilaya zote za Kagera anazihudumia ipasavvyo. Muleba wakikosa Chumvi atawapatia, Misenyi wakikosa kuni ataenda porini kuchanja, Karagwe wakipata kiu ataenda kuwatafutia maji, Bukoba wakilia ataenda kuwafuta machozi, Biharamulo wakicheka naye atajumuika nao kwenye furaha yao na Kyerwa wakipata tatizo yeye ndio mfumbuzi wa tatizo hilo.

Wanasema hakuna shujaa ambaye yuko hai ila Mlimwengu mimi nasema kwamba wewe ni a living hero. Moyo wako uko Kagera, macho yako yote umeyaelekeza Kagera, masikio yako yote yapo Kagera na hata pua zako umezielekea Kagera ziweze kunusa kile ambacho kinafanyika Kagera. Huenda watu hawasemi ila hadi sasa mioyo yao na kitabu cha kumbukumbu kitasema remember the name Oliver.

Baadhi ya watu wanaokujua au wamebahatika kukaa na wewe hawawezi kutenganisha moyo wako na Kagera. Mvua inyeshe na jua liwake siku zote ukiwa bungeni umekuwa ukiipambania Kagera. Wewe ni mbunge lakini watu wanajua hakuna mfuko ambao unapewa kwa ajili ya kusaidia watu ila wewe umekuwa mstari wa kwanza kwa ajili ya kuwasaidia watu. Leo hii watu hawakupigii makofi, leo hii watu hawakushangilii lakini yote wanajua kwamba ni desturi yako watakushangilia kwa lipi na watakupongeza kwa lipi? Wewe umegusa mioyo yao na matendo yako yote umeyaweka kwenye nafsi zao.

Oliver! Oliver! Oliver! Nakuita mara tatu. Kwanza nikutakie siku njema ya siku yako ya kuzaliwa na kisha naomba tumbo ambalo lilikuzaa wewe libarikiwe zaidi. What a human ? Wewe ni mtu na nusu, wakina mama walishaapa kiapo cha yamini kwamba ulipo wewe na wao wapo sasa sisi ni wakina nani tuwapinge.

Happy birthday Hon Oliver Semuguruka and congratulation Kagera.View attachment 2699595

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Happy birthday Mhe. Oliver
 
Huyu mleta mada anathihirisha u bogus wa wahaya.
 
Fanyeni kazi jamani, uchawa ni upumbavu tu. Mtu mzima unalamba matako ya kitoto kidogo kisa mbunge, ujinga kabisa.
Yani anamchoresha tu dada wa watu sidhani kama huyu dada kabariki bandiko hili maana mleta mara anaonekana ni chawa mbobezi dzain anampgia promo kiaina inaonekana Kuna Jimbo mh analitolea macho[emoji23]
 
Fanyeni kazi jamani, uchawa ni upumbavu tu. Mtu mzima unalamba matako ya kitoto kidogo kisa mbunge, ujinga kabisa.
Huyo ndio wa kuchanja Kuni[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!!!!! Naomba kukazia[emoji3516]
 
Unawakilisha kizazi cha watu ambao ni waoga na hawafai kwenye jamii. Ndio maana mnatumia fake account kuelezea mambo yenu. Kama kweli mwanaume unasimama na kile unachokisimamia kwa identity yako.

Kutokana na ulichokisema na unachokiwazia niite Chawa niite whatever you like lakini mwisho wa siku nilichokisema nakimaanisha. Karibu sana Kagera ndio utaelewa ninachokimaanisha. Watu wana chuki ambazo zinapelekea kuchukia kila kitu. Ninaamini ndio upande ambao umeuchagua.
You are welcome
Mimi natumia fake account kwa sababu i do not want to stay long enough in here. Tafuteni exposure vijana, social media life and validation ain't a real life young man. Kizazi hiki mnatafunwa na social media addiction, mnakaa mitandaoni sana mpaka mnakosa vya kufanya, mnaishia kuwa machawa wa vijana wenzenu wafanya kazi. Get a life young man
 
Anaandika Mo Mlimwengu.

Oliver ni nani?
Oliver ni yupi ?
Oliver wa wapi?
Hivi kwanini Oliver?.

Ni maswali ambayo watu wanajiuliza wakati mwingine wanajijibu wenyewe huenda wakakosea au wakapatia kwenye majibu yao. Mh Oliver Semuguruka kwanza kabla ya yote ni mwanadamu mwenye damu lakini tena ni mkazi halali wa Mkoa wa Kagera. Ukienda zaidi kwenye kitabu cha Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania unakuta naye ni Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kagera.

Kwanini Oliver anakuwa gumzo ? Hii ni kwasababu kwenye kamusi ya kiswahili neno mbunge Mh Oliver amekuwa maana sahihi ya neno hilo. Mlimwengu mimi ni mzurulaji ila nilichogundua mambo ambayo anafanya Mh Oliver kwa mkoa wa Kagera haijawahi kutokea. Kagera kwake ni nyumbani kwake na wilaya zote za Kagera anazihudumia ipasavvyo. Muleba wakikosa Chumvi atawapatia, Misenyi wakikosa kuni ataenda porini kuchanja, Karagwe wakipata kiu ataenda kuwatafutia maji, Bukoba wakilia ataenda kuwafuta machozi, Biharamulo wakicheka naye atajumuika nao kwenye furaha yao na Kyerwa wakipata tatizo yeye ndio mfumbuzi wa tatizo hilo.

Wanasema hakuna shujaa ambaye yuko hai ila Mlimwengu mimi nasema kwamba wewe ni a living hero. Moyo wako uko Kagera, macho yako yote umeyaelekeza Kagera, masikio yako yote yapo Kagera na hata pua zako umezielekea Kagera ziweze kunusa kile ambacho kinafanyika Kagera. Huenda watu hawasemi ila hadi sasa mioyo yao na kitabu cha kumbukumbu kitasema remember the name Oliver.

Baadhi ya watu wanaokujua au wamebahatika kukaa na wewe hawawezi kutenganisha moyo wako na Kagera. Mvua inyeshe na jua liwake siku zote ukiwa bungeni umekuwa ukiipambania Kagera. Wewe ni mbunge lakini watu wanajua hakuna mfuko ambao unapewa kwa ajili ya kusaidia watu ila wewe umekuwa mstari wa kwanza kwa ajili ya kuwasaidia watu. Leo hii watu hawakupigii makofi, leo hii watu hawakushangilii lakini yote wanajua kwamba ni desturi yako watakushangilia kwa lipi na watakupongeza kwa lipi? Wewe umegusa mioyo yao na matendo yako yote umeyaweka kwenye nafsi zao.

Oliver! Oliver! Oliver! Nakuita mara tatu. Kwanza nikutakie siku njema ya siku yako ya kuzaliwa na kisha naomba tumbo ambalo lilikuzaa wewe libarikiwe zaidi. What a human ? Wewe ni mtu na nusu, wakina mama walishaapa kiapo cha yamini kwamba ulipo wewe na wao wapo sasa sisi ni wakina nani tuwapinge.

Happy birthday Hon Oliver Semuguruka and congratulation Kagera.

View attachment 2699595
Unamnadi mulupo wako siyo!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mamlaka ya maji mko wa kagera
 
Hongereni Kagera
 
Back
Top Bottom