Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maadui zake wote amewaweka mbali na ardhi yake. Huku huko waliko amewafuata na kuwazunguka na Kambi za kijeshi na vibaraka wake aliowawezesha. Lakini Kuna system ambazo ameiweka kumonitor maadui...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania...
27 Reactions
86 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na...
1 Reactions
3 Replies
489 Views
Sio Tanzania tu bali Afrika nzima. Kwa sababu, kanisa la Mwamposa ndio taasisi pekee ambayo ina waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.( kiimani) Wakristu na waislamu kwa pamoja...
14 Reactions
83 Replies
3K Views
Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Ni wito wangu kwenu vijana hasa wa kiume. Ni kweli hali ya hisia za ngono ni kali katika hatua uliyofikia jitahidi uzishinde kwa kufanya kazi na kumuomba Mungu. Kila unapoona hisia za ngono...
2 Reactions
2 Replies
238 Views
Wakuu habari… Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi. Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu...
15 Reactions
151 Replies
5K Views
Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein. Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo. Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
DUNIA NA ULIMWENGU ULITOKEA WAPI? BIG BANG ni mlipuko mkubwa ajabu sana ambao ulitokea hapo kale ikihusisha dark energy/nishati nyeusi au nishati ya kiza na chanzo cha nishati hiyo ya giza...
1 Reactions
4 Replies
491 Views
Imwe, Igele, Izato,.. kwa kabila la Wakikuyu, Ila kwa lugha ya Kiswahili maana yake ni Moja, Mbili, Tatu,... Kwa nini iwe Izato na wala siyo tena Mbenge kama vile ilivyokuwa hapo awali!? Sababu...
1 Reactions
5 Replies
279 Views
Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu. Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa...
25 Reactions
52 Replies
3K Views
The world doesnt need too many rich people , if everyone had $10 million dollars no one would clean the street ,collect the garbage or take care of gardens. So to keep society running smoothly...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au...
8 Reactions
139 Replies
6K Views
Ushauri kwa Serikali Kuhusu Kufungia Makampuni ya Betting Makampuni ya betting yamekuwa mengi sana katika jamii yetu, yakileta athari chanya na hasi. Kufuatia hatua ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT)...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni...
18 Reactions
168 Replies
8K Views
WanaJF bila shaka mu wazima kama mimi. Mwaka mpya ndio huoo waja. Mola atufikishe. Amina. Maisha ni safari ndefu sana tena sana. Watoto wa kisasa wakisikia kuwa uyaone wao hudhani ni maparachichi...
46 Reactions
146 Replies
12K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A...
0 Reactions
2 Replies
549 Views
Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣 Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea. Anyway kila kitu kina wakati...
1 Reactions
14 Replies
469 Views
Heri ya Sikukuu ya Sabasaba
1 Reactions
13 Replies
524 Views
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community. Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana. Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom