Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha. MENTALLITY ⚡⚡
2 Reactions
2 Replies
265 Views
Kama unajijua wewe ni mtu wa mishe za magumashi ikiwemo wizi, ujambazi, utapeli na mambo meusi meusi hakikisha hutumii simu aina yeyote sasa hivi mifumo ya usalama wa taarifa imeboreshwa kiasi...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo...
9 Reactions
31 Replies
942 Views
Wasaalam wote humu. YAH; MREJESHO NA SHUKRANI KWA WANANCHI. 6 Julai, 2025 UTANGULIZI; mapema tarehe 06 Julai, 2025 majira ya saa 2 asubuhi hivi, niliomba ushirikiano wa jamii kwenye kufuatilia...
38 Reactions
116 Replies
4K Views
MADARAJA 10 MAREFU ZAIDI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI Mind you madaraja ni miundombinu ya kimkakati Ili kuboresha uchukuzi hence uchumi wa nchi 1. Daraja la JP Magufuli - km 3.2...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Hii ni ya ajabu sana: Kati ya Injili zaidi ya 27, ni 4 tu ndizo zilijumuishwa kwenye Agano Jipya.. ambalo lilikamilishwa miaka 335 baada ya Yesu kuondoka duniani. Kwa hiyo, Roho Mtakatifu...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini. Katika karama 9 kuu...
3 Reactions
8 Replies
457 Views
Nimeamua mwenyewe kusema kuwa hakuna kura zinazoibiwa Tanzania kwa mazingira sababu hizi; 1. Wagombea wa vyama vya upinzani wenyewe kwa vinywa vyao utawasikia wakisema kwenye majukwaa, oooh Ubunge...
1 Reactions
2 Replies
270 Views
Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania? Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.
2 Reactions
14 Replies
790 Views
Unapofanya jambo lolote, litazame kwa umakini sana, Uwekezaji unaoufanya Je unawekeza kwenye Maisha Yako au kwenye Mipango ya wengine. Maana ukikosea kufanya uwekezaji utajuta Maisha Yako Yote...
6 Reactions
4 Replies
459 Views
Wakati Serikali inapambana kuhamisha kwenye Mifumo zaidi na kupunguza "paper work" kuboresha ufanisia wa kazi. Mabenki yanapambania fursa za kuboresha maisha ya watumishi kwa njia ya mikopo. Hivyo...
3 Reactions
21 Replies
12K Views
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy...
14 Reactions
124 Replies
3K Views
Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio...
7 Reactions
24 Replies
919 Views
Leo Julai 7, 2025 ni Kilele cha Maonesho ya 49 ya Kitaifa ya Biashara maarufu kama "Saba Saba". Maonesho ambayo hutumika kuonesha shughuli mbalimbali za Kibiashara kutoka ndani na nje ya nchi Kwa...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili...
10 Reactions
58 Replies
5K Views
Katika tafiti za maandiko ya Biblia, na waandishi wa nakala. Hii imesababisha baadhi ya tafsiri za kisasa kuziacha aya hizo ni baadhi ya aya maarufu ambazo hazipo katika maandiko ya awali: Aya...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Hata waislam pamoja na siku kuu ya kuabudu kuwa Ijumaa, biashara zinaendelea kama kawaida, saa sita mchana ataenda kuswali, atarudi kuendelea. Wasabato wengi wanafunga biashara kabisa siku za...
1 Reactions
1 Replies
234 Views
Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.
1 Reactions
3 Replies
339 Views
Back
Top Bottom