Kuanzia Jumanne, tarehe 8 Julai 2025, shule zote za msingi na sekondari – za serikali na binafsi – zitafunguliwa rasmi nchini baada ya likizo ya mwezi mmoja. Hii inaashiria kuanza kwa muhula wa...
Kiarabu vs Kiswahili
Izo nchi zenye watu majority wanaongea Kiarabu;
Egypt=110M
Libya= 7M
Tunisia=12M
Algeria=45M
Morocco=40M
Sudan=50M
Jumla=264M
Kiswahili; nchi wanaongea wengi Kiswahili kwa...
Andiko hili limechapishwa Abdul Nondo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kuambatanishwa na video
------------------------------
👇
"Sisi ACT Wazalendo tunajua kwamba chaguzi zetu ni za...
Habarini wana JF!
Bila kupoteza muda nitoe wasifu wangu kwa ufupi kwa intaneti. Binafsi nawiwa kuona jamii inajikita kuweka miundombinu ya intaneti kwa matumizi ya wengi. Kutokuwepo intaneti ya...
Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji...
Watanzania tuamke na tuachane na ile dhana kwamba Elimu ni ufunguo! Wengi wetu tumepotoka kwa kukariri na kubaki kuwanyoshea vidole watoto wanao tega kwenye masomo. Zama zimebadilika! tuko katika...
Ni wazalendo wachache sana wanaochukia ufisadi, Ukali Wetu wengi si kwa Sababu ya Maumivu ya Ufisadi, Ni kwa sababu hatukuitwa meza ya mgao
Dili likipigwa iwe ni ofisi au watu flani wamepiga...
Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata...
Sababu kuu kwanini watu wengi wanaishi kwenye mazoea ya zamani badala ya ukweli wa sasa ni hizi:
1. Hofu ya mabadiliko:
Watu wengi huogopa kisichojulikana, hivyo hukimbilia mazoea kwa sababu...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU
Leo katika maono nimemuona philipo mpango makamu wa rais wa TANZANIA akiwa amekaa kwenye kiti cha juu kabisa
Kilichonishaza zaid ni hiki
Alikuwa anauliza...
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ...
Siyo kila mvumbuzi alifurahia kazi ya mikono yake, baadhi ya wavumbuzi wakubwa duniani waliishia kuishi na huzuni kwa sababu ya jinsi uvumbuzi wao ulivyotumika kinyume na matarajio yao.
Hii hapa...
Habari mazee!
Huyu jamaa kajiongeza sana na elimu imemsaidia kwa kiasi kikubwa, hakutaka kuilaumu serikal bali alichukua hatua na kujiajiri mwenyewe kuliko kuendelea kulalamika...
Naliona Jeshi la wananchi linaota huduma za kijeshi hapa kama chakula KUJENGA hema na mengineyo.
Naona mwili umeletwa na Jeshi la Polisi. Je, hizi heshima zimekujaje?
Au ni miongoni mwa majasusi...
Maisha ya hapa duniani huwa hayaendeshwi na ukweli uliowekwa na binadamu.
MTU anayekupa NO na kukuambia haufai MTU huyo huyo kesho anakupa YES na kukuambia unafaa.
Hivyo unapoishi hapa duniani...
Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara.
Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.