Kazi ni kipimo cha utu

Kazi ni kipimo cha utu

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,484
Reaction score
3,279
Ni wito wangu kwenu vijana hasa wa kiume. Ni kweli hali ya hisia za ngono ni kali katika hatua uliyofikia jitahidi uzishinde kwa kufanya kazi na kumuomba Mungu.

Kila unapoona hisia za ngono zinakuwa kali ujue hapo kuna mtihani wa hatima yako. Mnarudi shule kesho 8/07/2025 na wale wa vyuoni mnamalizia na wengine mnajiandaa kuanzia mitihani ya kumaliza semister.

Chonde mshikeni elimu atawasaidia huko muendako acheni kelele zinazodai hata ukisoma hakuna ajira, wewe soma mengine yatajijua mbele ya safari.

L and of sorrow
O cean of tears
V alley of death
E nd of life
Na wale mtakaomaliza shule kwa ngazi yoyote fanyeni kazi yoyote halali usikubali kukaa nyumbani unaangalia series toka hata ukauze mifuko sokonj au kusaidia wanaokuja sokonj kununua vitu.

Kuwa mwaminifu na usiye na dharau utafanikiwa kijana wangu.
 
Nilichelewa sana kuanza sex nikapata kazi nikaishia kuwa mshamba wa ****,nikaishia kupata mwanamke.selfish and irresponsible
 
Back
Top Bottom