Izato
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 5,134
- 11,071
Imwe, Igele, Izato,..
kwa kabila la Wakikuyu, Ila kwa lugha ya Kiswahili maana yake ni Moja, Mbili, Tatu,...
Kwa nini iwe Izato na wala siyo tena Mbenge kama vile ilivyokuwa hapo awali!?
Sababu kubwa ni baada ya kubaini kuna huduma ya kiroho ya Kikristo yenye kuongozwa na Mch. Mbenge. Kwa muktadha huo nimeona ni vyema kubadili jina hilo la kificho na kuchagua jingine jipya lenye utambulisho wa nambari 3.
Namba 3 katika tafsiri ya lugha za kibiblia, ikiwa ni namba yenye kubeba maana ya kinabii ya jambo lenye fumbo la kinabii ambalo linakwenda kufikia ukamilifu wake wote katika hali ya kimwili, yaani fulfillment.
Ijapokuwa jina Mbenge niliilitumia mahususi lilkiwa limebeba code fulani muhimu nyuma yake kwa tafsiri ya fumbo la kiimani, lakini inanipasa sasa nilibadilishe ili kuzidi kuenzi thamani ya huduma ya kichungaji, ya kusambaza Injili, pamoja na ile ya msalaba.
Kwa hiyo basi niwatambulishe rasmi wana jukwaa kuwa, haitakuwa tena Mbenge, bali sasa ni Izato, wakati dunia ikitarajia kushuhuhudia sehemu kubwa ya unabii ukitimia kupitia nambari 3.