Lesotho usiku huu utadhani Urusi wakati wa winter.
Temperature zimeshuka hadi -4°C
Johannesburg 8° C, Cape town 13° C, Harare 14°C, Gaborone 9°C
Dar es salam 24°C
Arusha 17° C, Njombe 9°C...
Mradi wa miundombinu ya maji katika Kata ya Kanyigo, uligharimu shilingi milioni 684 na ulizinduliwa na aliyekuwa Naibu Waziri wa maji, ambaye sasa ni Waziri wa maji Jumaa Aweso, lakini kwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka wizara zinazoshughulika na biashara kutoka Tanzania Bara na Visiwani kuhakikisha kuwa wazalishaji wote wa...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama...
Juzi hapa nilikuwa napitia mitandao nikaona jinsi Mwanasoka mahiri barani Afrika Sadio Mane akisema hana ushamba wa kununua vitu vya thamani ama anasa.
Yeye kasema atatumia kipato chake...
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na...
TLAANTLAAH: Mshika Mikoba wa Udhalilishaji wa Akili za Watanzania
Katika zama hizi za sintofahamu ya kisiasa, ambapo uongo umevaa suti na ubabe umevaa sifa, jina moja limeanza kuibuka kama kero...
Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa.
Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza...
Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze tena maandiko siku ya leo. Kwasababu Neno la Mungu ndio mwanga wa njia zetu na taa iongozayo miguu yetu. Maana yake tukiwa na...
Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana...
Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia:
Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni...
Noah za Arusha to N
amanga zimekuwa na changamoto mbalimbali na hazifuatiliwi na vyombo husika. mojawapo ya changamoto hizo ni:-
-watu kubanana sana
-kubadilisha nauli wanavyojisikia(mbali kabisa...
Sheria ya 1 ya kutoka kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene inasema "Never Outshine the Master" yaani kamwe ( Usiwahi kumfunika bosi wako)
Kamwe usijaribu...
Isa 5:20 SUV
[20] Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
Sio...
Nimejeuka kusoma soma Biblia kwa hii miezi michache, kuna jambo kama limeitekenya akili yangu. Kwanza, kwenye agano la kale, waliopewa uongozi wote waliishia kumjengea Bwana Madhabahu. Nuhu...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
Wakuu hii sidhani kama ilikuwa sahihi kwa watu wa protocol na wahusika wengine
Wamemtembeza Mh Rais katika mabanda yaliyobanana yenye fujo na juto kwa mda wa masaa 3 huenda na zaidi akikagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.