Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao.
Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua...
Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu...
Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi...
(Kulingana na Yoeli 3:1–8)
Katika sura ya tatu ya kitabu cha nabii Yoeli, tunaona ujumbe mzito wa hukumu ya Mungu juu ya mataifa ambayo yaliwatendea mabaya watu wa Israeli. Sura hii ni rejea ya...
Ni jambo linalojulikana wazi (kwa mujibu wa Groliers, “Bible Myths,” n.k.) kwamba ishara ya kwanza ya Ukristo ilikuwa samaki.
Katika vikombe vya sakramenti, mihuri, na taa, Roho Mtakatifu...
Tangu kupata uhuru mwaka 1960, Historia ya Urais nchini Mali imegubikwa na misukosuko ya kisiasa, ambapo karibu kila mabadiliko ya madaraka yamehusisha mapinduzi ya kijeshi. Kuanzia kumuondoa...
ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸
1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION)...
Nimejaribu masaa kadhaa leo kuweka pesa kwenye M-Pesa Visa card inasema tatizo la kiufundi. Ni kwangu tu au kuna mtu pia amekutana na hili tatizo? Simpati mhudumu wa Vodacom anipe jibu.
Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma.
Ikumbukwe...
Katika hali kama hizi ambapo miundombinu huharibika kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha Wananchi kuingia kwenye mateso makubwa wanapokosa huduma za msingi kwa muda mrefu.
Hali hiyo...
1.PAULO:
Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zako.
2.YESU:
Utalipwa kulingana na yale uliyoyafanya. (Mathayo 16:27)
3.MUNGU:
Afanyaye dhambi ndiye atakayekufa. (Ezekieli 18:20)
Hili...
Salamu wanajukwaa, leo asubuhi nimebaini jinsi wahudumu wa vituo vya kuuzia mafuta wanavyotuibia wateja.
Nilikuwa kwenye kituo cha mafuta Sinza nimepaki tayari kuwekewa mafuta baada ya kulakiwa...
Wamesitisha matumizi ya ticket kwa watu wazima mpaka uwe na card halafu upatikanaji wa card ni Gerezani na kimara.
Kwamba mtu atumie usafiri mwingine kufika gerezani kutoka anakotoka ama kimara...
Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga...
KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu...
Wadau wa elimu, naombeni ushauri.
Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa.
Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization.
Ni ipi program kwa halmashauri...
🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥
🩸 "Sio dharau, ni self-protection!"
1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa
Mtaa una macho lakini hauna moyo.
Watu waliocheka na wewe jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.