Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo hii wanakazi zao za maana na biashara za kutisha.
Sisi ambao darasani tulikuwa na akili na morality ya kufatuta maisha...
Naomba wastaafu na wastaafu watarajiwa tuutumie uzi huu kushauriana mambo kadhaa yahusuyo masilahi ya wazee kama:
(a) Jinsi ya kupitisha muda - maana masaa 24 kwa siku ni mengi. Tatizo hili ni...
Rejea swali hilo hapo juu. Ninaongea haya nikitokea katika utumishi wa Mungu. Tunzeni hili mtakuja kulithibitisha soon. Ni kwanini hata angetumia mbinu na njia gani kamwe hatofanikiwa?
1. Kukosa...
Hivi Serikali ina mpango gani na hawa vijana kwenye mikopo ya elimu?
Kuna utaratibu mpya wa kupata barua za utambulisho kwenye mfumo maalumu wa serikali unaitwa NAPA
Lakini watendaji wa vijiji...
Eti sijui munch wa jenny, mara sijui munch wa ana, ..blllllshhhtttt!!!
Alafu vijamaa vya namna hii unakuta ndio vile vivaa pensi fupi za mapajani kama vibinti vya buza
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya...
Kwenye azam other channel kuna channel zaidi 40 ambazo zinapatikana free na wingine wanalipia izi channel zinapatikana ata zuku decoder na CONTINENTAL DECODER
Sibuka
Abood tv
Rabbi tv
Tz...
Majeshi majeshi watu wa Mungu!
Kila mshirika atumie muda huu kualika wapenda amani wote ili wasipange kukosa tukutane kesho ibadani.
Mungu anakwenda kuonekana kwa ukubwa sana mwezi makanisa yote...
Habar wadau wa Jamiforums leo nimeona niwaletee hii.
Tanzania wauza Mafuta asilimia 90 wote ni wezi na gari ya mafuta wanaiuza mara mbili kwa wateja je wanafanyaje
Watu wa Petrol station wengi...
Mimi ninavyofahamu ni kwamba mafuta yote huagizwa pamoja, Sasa vipi nasikia Kuna sheli zinatoa mafuta masafi na yingine zinatoa mafuta machafu? kuna ukweli kuhusu jambo hili au ni maneno tu?
Wakuu,
Kutokana na vyuma kukaza na havina expansion joints nimekua makini sana kwenye kuweka mafuta kwenye gari.
Nikagundua kituo fulani fulani wanaiba sana, niliowa experience ni Oilcom...
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?
# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?
#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??
# Nitafute mtaji wa biashara...
Mfanyakazi wa benki ya CRDB, Stanley Josiah amefariki dunia akiwa anafanya mazoezi kwenye Daraja la Tanzanite.
Taarifa za kifo chake hicho zimethibitishwa leo Jumamosi Juni 14,2025 na Mkurugenzi...
Ajira hakuna lakini hizo chache zilizopo zinanukia harufu ya kujuana na rushwa,
Kama ajira hakuna basi ugumu uwe kwa usawa (equally) bila kujali cheo, undugu, urafiki, kabila, dini, mali Wala...
Igweeee
Waswahili husema bongo bahati mbaya,, hatimaye zamu yangu kwenda ng'ambo imekaribia
Ni hivi nimekuwa na ndogo hii kwa muda mrefu baada ya kuimaliza elimu ya chuo bongo na kusota bila...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha andiko lenye kichwa cha Habari “Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuweni 'serious' na elimu yetu, kuna uzembe mkubwa unaosababisha kuchelewesha...
Shalom shalom
Nenda moja kwa moja Kwenye mada
Kwamuda mrefu nimekua mkazi wa mbeya watu wa huku wengi wameshika dini sana ukiwaona kwa nje na hata kuongoza kuwa na manabii na mitume wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.