Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu watano wamejeruhiwa baada ya pikipiki ya magurumu matatu (guta) waliyokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na basi la abiria lenye namba za usajili T355 DCP lililokuwa likitoka Dar es...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
kuna hadith mashuhuri inayopatikana katika vyanzo vya Sahih ambayo inaeleza kuwa mmoja wa matukio yatakayofuatana na Kiyama ni vita kati ya Waislamu na Wayahudi, na kwamba kila mti na jiwe litatoa...
2 Reactions
14 Replies
808 Views
Tunaotaka spiritual power sijui twende wapi maana pande zote kuna utapeli, wajuzi wahaya mambo toeni code nasisi wengine tufanikiwe
1 Reactions
10 Replies
375 Views
Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa. Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Wananchi 1,908 wametembelea Banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara, Sabasaba 2025 yaliyomalizika leo Julai 13, 2025 Hayo...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!! Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli, Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa...
0 Reactions
22 Replies
864 Views
Mtumr.Mungu akubariki sana Maboya Nimeona clip yake anasema ntue wanawake wanaume mnakufa mapema sana kwa mambo ya kijinga Kkama unaona mwenzio anakusumbua nenda mbagala akikusumbua nenda...
1 Reactions
0 Replies
189 Views
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
MUNGU YUPO ANAZIDI KUONEKANA KARIBUNI UKUMBI WA TANZANITE KMR KOROGWE KWA AJILI YA MAOMBI YA KUFUNGA MWEZI MZIMA
1 Reactions
28 Replies
733 Views
Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo. Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi". Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN wewe ni fala tu SIMBA na YANGA zimekua dini za vijana wapumbavu upo tayari kumtukana mwenzio...
1 Reactions
34 Replies
781 Views
AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe. Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
🔥Ifanye porno kuwa bure 🔥Wafanye watoto wasahau mababu zao (ancestors) 🔥Mfanye mwanamke ashindane na mwanaume katika ndoa 🔥Mfanye mwanadamu azame katika itikadi alioletewa na kusahau utu na...
1 Reactions
1 Replies
236 Views
Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya...
1 Reactions
15 Replies
608 Views
Naona nguo zimeanza kupauka Sina mishe Sina harakati Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Kampuni ya Helium One, inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya helium nchini Tanzania, imekamilisha zoezi la ulipaji fidia ya zaidi ya milioni 100 kwa wananchi wa Vijiji vya Itumbula...
0 Reactions
3 Replies
381 Views
“If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.” — Al Qur’aan 8:70 He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
1 Reactions
45 Replies
995 Views
Mstari huu kutoka 1 Wakorintho 7:27-28 (New Century Version - NCV) unasomeka hivi: "Kama hujaoa, usijaribu kutafuta mke. Lakini ukichagua kuoa, hujatenda dhambi. Na kama msichana ambaye hajawahi...
17 Reactions
82 Replies
4K Views
Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia. Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme. Mwana...
0 Reactions
6 Replies
469 Views
Back
Top Bottom