Tangu kupata uhuru mwaka 1960, Historia ya Urais nchini Mali imegubikwa na misukosuko ya kisiasa, ambapo karibu kila mabadiliko ya madaraka yamehusisha mapinduzi ya kijeshi. Kuanzia kumuondoa Modibo Keïta mwaka 1968, hadi mapinduzi dhidi ya Amadou Toumani Touré mwaka 2012, na Ibrahim Boubacar Keïta mwaka 2020
Mapinduzi haya yamekuwa yakichochewa na migogoro ya ndani na kutokuwepo kwa imani kwa serikali za kiraia, hali iliyowapa wanajeshi nafasi ya kuingilia kati mara kwa mara.
Soma pia: Mali: Assimi Goïta atangaza sheria inayompa mamlaka bila kikomo
Kwa sasa, Mali inaongozwa na Jenerali Assimi Goïta, aliyeingia madarakani kupitia mapinduzi mwaka 2020. Mnamo Julai 10, 2025 alisaini nyaraka ambazo bunge la mpito lilimuidhinisha kuendelea na uongozi kwa miaka mitano bila ukomo rasmi