Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shalom shalom Nenda moja kwa moja Kwenye mada Kwamuda mrefu nimekua mkazi wa mbeya watu wa huku wengi wameshika dini sana ukiwaona kwa nje na hata kuongoza kuwa na manabii na mitume wengi...
2 Reactions
8 Replies
485 Views
Uliza maswali kutoka mada mbalimbali Mungu, sayansi, imani, uchawi, satanism, devil worshipping, secrete societies, maisha, siasa na utapata majibu kadiri iwezekanavyo. Uwe una maanisha na una...
4 Reactions
129 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza, karibu sana katika kurasa huu wa wapenzi wa kusoma vitabu utushirikishe ni kitabu gani kimebadirisha maisha yako ungependa wengine wakisome
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Je unapenda kujifunza vitu vipya Kila siku kwenye simu yako ? Unatamani kupata mambo mazuri kuhusu simu yako ? Sasa leo nakuletea apps nzuri za kukusaidia kujifunza vitu vipya Kila siku...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wewe upo China, wachina wapo kijijini kwako! Ni ajabu embu sikiliza kidogo hapo kutoka kwa Anthony Mtaka.
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo, ametunukiwa tuzo maalum na Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo kama ishara ya kutambua uongozi wake mahiri na...
2 Reactions
5 Replies
449 Views
Salaam, shalom, Tuendelee na MADA zamivu katika masuala yasiyoonekana Kwa macho. Usilolijua, sasa tunaishi wakati ambao MUHURI wa nne umekwisha Funguliwa, kuzimu imeruhusiwa kuja Duniani kuvuna...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Inawezekana kauli hii ilipenyezwa kwa walengwa bila wao "kung'amua" Faida iliyopatikana mpaka Sasa ni 100% kwani imewasambaratisha vipande vipande kupitia mtu wao (Urusi ilisambaratika vipande...
1 Reactions
4 Replies
270 Views
Tunduru mjini Matapeli wa madini feki wapo wengi sana kuanzia kipande cha benki ya Nmb Tunduru kupelekea hadi hospitali ya wilaya ya Tunduru wapo wengi sana ukisimamishwa basi imekula kwako na...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Matukio ya watu kulalamika juu ya simu wanazotumia ni feki yamekua mengi sana wengi wakiamini wameuziwa simu original kumbe kiuwalisia sio original ni kopi TU. Kuna nyakati kutizama hivi...
1 Reactions
10 Replies
653 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa serikali imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 23.5 kwa ajili ya ujenzi wa vituo...
0 Reactions
3 Replies
266 Views
Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
0 Reactions
36 Replies
898 Views
Yesu .1 “Mimi na Baba ni kitu kimoja.” (Yohana 10:30). “Nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ni wa kweli.” (Yohana 8:14). “Iweni na amani kati yenu.” (Marko 9:50) . “Aliyeniona mimi...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
Leo Jumamosi Julai12, 2025 Chama Cha ukombozi wa umma CHAUMMA kimeanza ziara zake mkoani Tanga kwa kutumia usafiri wa Helkopta maarufu kama 'Chopa', wakianzia Wilayani Korogwe na Jioni hii...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amesema utunzaji hafifu wa kumbukumbu za dawa na vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya unachangia kusuasua kwa...
1 Reactions
1 Replies
273 Views
Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning...
0 Reactions
3 Replies
434 Views
Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa...
1 Reactions
5 Replies
450 Views
Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani. Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.
2 Reactions
10 Replies
849 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA 🌍 Kusema ukweli sina siku nyingi sana tokea nimefika katika hii dunia, nina jumla ya wastani wa siku 10,800 sawa na miaka kama 30 hivi au 29., Kwenye...
1 Reactions
8 Replies
611 Views
Wakristo tunaamini mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi? Huyu huyu ambae alikuwa bachelor kwa miaka 40 ambaye hakua na mke wala kuonekana na mke? Kama yeye mwenyewe tu alishindwa kuishi...
2 Reactions
8 Replies
419 Views
Back
Top Bottom