Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliingia mfanyakazi wa kawaida katika duka dogo la dawa, uso wake umechoka na mikono yake imepasuka kwa sababu ya kazi nyingi. Akamuuliza mfamasia kwa sauti ya utulivu: “Je, mna marhamu ya...
5 Reactions
12 Replies
705 Views
Habari wakuu. Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa? Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.” (Qur'an 3:85) Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
1 Reactions
51 Replies
945 Views
Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu...
2 Reactions
1 Replies
423 Views
Waliotamba Enzi za JK? Enzi za utawala wa Rais Jakaya Kikwete (2005-2015) zilikuwa zimejaa rangi na mvuto wa kijamii, hasa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo wajasiriamali, wafanyabiashara, na...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna wakati unaweza kumsifia mtu kumbe bila kujua unamharibia. Privaldinho alianza vizuri andiko lake ila kumfananisha Mwigulu na mtu aliyekuwa na kashfa kibao za ufisadi na ukwepaji kodi sio...
0 Reactions
6 Replies
400 Views
Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya (HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo. Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako. Linda sana nguvu yako...
5 Reactions
9 Replies
386 Views
... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
0 Reactions
3 Replies
408 Views
Nature ni nature kwa kila kumbe Ni ngumu Sana kwa kiumbe cha kike kujamiiana bila sababu binafsi Iwe mapenzi Pesa Au faida flani. Hivi hivi sio kweli Ngoja nilale kama chura jike
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Umeshawahi kukutana na mstari mmoja umenyooka kwenye kioo cha simu yako wenye rangi ya kijani au yoyote Ile ambao ujitokeza kwenye display ya simu yako , Je uwa ina sababishwa na nini ?? Simu...
1 Reactions
10 Replies
516 Views
Ukiona umeona mambo ya kustaajabisha basi hujawahi kusikia hili la watu kufanya mapenzi na wanyama Ndio achana na sasa hivi mtu akifanya mapenzi na mnyama huonekana wa ajabu sana au huenda hana...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Robert Heriel Mtibeli ndo Kijana namba moja mwenye akili hapa Tanzania . Namuona Mbali Sana huyu Kijana, maana kwa umri wake wa miaka 31 tu Ila amefanya mapinduzi Makubwa ya kifikra kwa vijana ...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya...
7 Reactions
12 Replies
671 Views
Aliyekuwa mjumbe wa Tume Maalum ya Katiba (maarufu-Tume ya Warioba) na mchambuzi wa siasa, Humphrey Polepole, usiku wa kuamkia jana alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake,Mbezi...
3 Reactions
207 Replies
31K Views
Shalom shalom Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Hapo chini ni barakoa ya mateso (inquisition mask) iliyotumika kuchoma macho ya wale waliokataa kubadili dini kuingia Dini ya Ukristo. Barakoa hii ipo kwenye Maonyesho ya Jumba la Makumbusho la...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Mwamba denis robert Shughuru Rais mtarajiwa na potential JF person of the year 2025 contester anaishi Stockholm Sweden? adriz min -me Mufti kuku The Infinity
6 Reactions
15 Replies
935 Views
Nawasilisha Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Back
Top Bottom