NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,305
- 1,813
Habarini zaleo wana Jf naombeni msaada nikiingia huku siku hizi natatizika kweli,kitufe cha subscribe sikioni.
nikitafuta kwa tabu baadhi ya uzi nilizokumsaawa nafwatilia nikikuta Episode 5 labda, kuipata ya sita au mwendelezo ni shida .
Pia zamani kama unataka kusoma coment ulipoishia kusoma ilikuwa rahisi tu ukumbuke ni no ngapi basi ila kwa sasa nashidwa .
Msaada tafadhali naomba mnielekeze kwa anayejua