Huu uzi unafunza📌

Huu uzi unafunza📌

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,358
Reaction score
7,979
Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani.

Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo clear, hajui anaelekea wapi au kama anachokifanya kina maana.

Mwingine anaona ameshachelewa kufanikiwa. Amekata tamaa na, kwa namna fulani, ameamua kujiachia tu maisha yamuendee yatakavyo.

Mwingine anasumbuliwa na ugonjwa fulani unaomnyima raha. Kila siku anajiambia, “Kama siyo huu ugonjwa, labda ningekuwa na furaha sana.”

Mwingine hana familia. Mwanzoni ilianza kama masihara, akisema bado ana muda. Lakini sasa umri umesonga, na anaanza kuhisi kama maisha yameshamwambia, “No turning back, no family for life.” Pengine anajilaumu na kujiuliza kama alikosea kutokujenga familia mapema.

Mwingine yupo kwenye ndoa inayompeleka puta kiasi kwamba kila siku anajuta, lakini haoni namna ya kutoka humo.

Na mwingine labda anasumbuliwa na umaskini kiasi kwamba kila siku ni kukimbizana na maisha, huku akitafuta hata dalili ndogo tu ya matumaini kwamba hali yake inaweza kubadilika.

Ukweli ni kwamba kila mmoja wetu ana safari yake. Kila mmoja ana vita ambavyo huenda wengine hawavioni. Na kwa sababu kila mmoja humu ana experience yake, huenda kuna jambo ulilopitia wewe ambalo funzo lake linaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia hali kama hiyo leo.

Kwa hiyo, kama una jambo lolote ulilojifunza kupitia maisha yako—iwe ni kuhusu kufeli, kuachwa, kuchelewa, ndoa, familia, afya, pesa, kupoteza matumaini, kuanza upya au hata kujifunza kujipenda—andika tu.

Huenda kwako ni hadithi ya zamani, lakini kwa mwingine ikawa ndiyo sababu ya kuendelea kesho.

Fanya tuandike. Tujiokotee hekima na uzoefu wa kila mmoja, ingali tupo hai.
 
Funza wenyewe
a-group-of-maggot-fly-larva-order-diptera.jpg
 
Mimi hii hali ya kuwa na hundreds thousands of USD inaniuma sana. Sitaki hii hela nataka niwe na one million usd kuendelea huko. Unakuta majuzi nimefikisha hadi 950k usd bado tu ni huzuni. Just imagine 50k usd imebakia nifikishe 1 million. Nimejaribu miaka nenda rudi kufikisha na kupata 1m usd lakini wapi. Hii hali inaninyima sana furaha na usingizi. Nadhani nimerogwa tu Niombeeni asee.
 
Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani.

Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo clear, hajui anaelekea wapi au kama anachokifanya kina maana.

Mwingine anaona ameshachelewa kufanikiwa. Amekata tamaa na, kwa namna fulani, ameamua kujiachia tu maisha yamuendee yatakavyo.

Mwingine anasumbuliwa na ugonjwa fulani unaomnyima raha. Kila siku anajiambia, “Kama siyo huu ugonjwa, labda ningekuwa na furaha sana.”

Mwingine hana familia. Mwanzoni ilianza kama masihara, akisema bado ana muda. Lakini sasa umri umesonga, na anaanza kuhisi kama maisha yameshamwambia, “No turning back, no family for life.” Pengine anajilaumu na kujiuliza kama alikosea kutokujenga familia mapema.

Mwingine yupo kwenye ndoa inayompeleka puta kiasi kwamba kila siku anajuta, lakini haoni namna ya kutoka humo.

Na mwingine labda anasumbuliwa na umaskini kiasi kwamba kila siku ni kukimbizana na maisha, huku akitafuta hata dalili ndogo tu ya matumaini kwamba hali yake inaweza kubadilika.

Ukweli ni kwamba kila mmoja wetu ana safari yake. Kila mmoja ana vita ambavyo huenda wengine hawavioni. Na kwa sababu kila mmoja humu ana experience yake, huenda kuna jambo ulilopitia wewe ambalo funzo lake linaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia hali kama hiyo leo.

Kwa hiyo, kama una jambo lolote ulilojifunza kupitia maisha yako—iwe ni kuhusu kufeli, kuachwa, kuchelewa, ndoa, familia, afya, pesa, kupoteza matumaini, kuanza upya au hata kujifunza kujipenda—andika tu.

Huenda kwako ni hadithi ya zamani, lakini kwa mwingine ikawa ndiyo sababu ya kuendelea kesho.

Fanya tuandike. Tujiokotee hekima na uzoefu wa kila mmoja, ingali tupo hai.
Kuna kitu nimejifunza hivi karibuni: usidharau hali ya moyo na mawazo yako kwa sababu tu watu wanaona uko sawa. Wakati mwingine mtu anaweza kuwa kimya, akicheka na watu, lakini ndani yake anapitia mengi.
 
Wanaume pendeleen kuzungumza na mtu wako wa karibu mpunguze mazito kwenye vifua vyenu usione Hana maana mazungumzo ama kuzungumza kwako ni Tiba mnasema wanawake tunaongea sana tunajua kulalamika ila tunaondoa sumu kwenye vifua vyetu hatukai na vinyongo

Kuna ule usimi wanaume wanamaisha mafupi kuliko mwanamke
 
🤝
 
Hii muhimu sana🤝
 
Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani.

Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo clear, hajui anaelekea wapi au kama anachokifanya kina maana.

Mwingine anaona ameshachelewa kufanikiwa. Amekata tamaa na, kwa namna fulani, ameamua kujiachia tu maisha yamuendee yatakavyo.

Mwingine anasumbuliwa na ugonjwa fulani unaomnyima raha. Kila siku anajiambia, “Kama siyo huu ugonjwa, labda ningekuwa na furaha sana.”

Mwingine hana familia. Mwanzoni ilianza kama masihara, akisema bado ana muda. Lakini sasa umri umesonga, na anaanza kuhisi kama maisha yameshamwambia, “No turning back, no family for life.” Pengine anajilaumu na kujiuliza kama alikosea kutokujenga familia mapema.

Mwingine yupo kwenye ndoa inayompeleka puta kiasi kwamba kila siku anajuta, lakini haoni namna ya kutoka humo.

Na mwingine labda anasumbuliwa na umaskini kiasi kwamba kila siku ni kukimbizana na maisha, huku akitafuta hata dalili ndogo tu ya matumaini kwamba hali yake inaweza kubadilika.

Ukweli ni kwamba kila mmoja wetu ana safari yake. Kila mmoja ana vita ambavyo huenda wengine hawavioni. Na kwa sababu kila mmoja humu ana experience yake, huenda kuna jambo ulilopitia wewe ambalo funzo lake linaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia hali kama hiyo leo.

Kwa hiyo, kama una jambo lolote ulilojifunza kupitia maisha yako—iwe ni kuhusu kufeli, kuachwa, kuchelewa, ndoa, familia, afya, pesa, kupoteza matumaini, kuanza upya au hata kujifunza kujipenda—andika tu.

Huenda kwako ni hadithi ya zamani, lakini kwa mwingine ikawa ndiyo sababu ya kuendelea kesho.

Fanya tuandike. Tujiokotee hekima na uzoefu wa kila mmoja, ingali tupo hai.
Huu uzi unafunza📌 = Jambo lakujifunza kutokana na uzi huu
 
Back
Top Bottom