Anayejua maana ya hii 432 Hz

Anayejua maana ya hii 432 Hz

Psalm_27

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2026
Posts
1,653
Reaction score
3,243
Hellow guys......
Wakuu anaejua maana ya hii 432hz na maana ya namba 9......
Katika ulimwengu wa roho ina maana gani....
Na hiyo 432hz ina mahusiano gani na mambo ya kiroho.....
Cc..... bless on and others......... Mshana Jr
 
Hellow guys!!!

Wakuu hii 432hz asili yake nini....... Na ina mahusiano gani katika mambo ya kiroho.......

Na maana ya namba 9 katika ulimwengu wa kiroho, maana YESU alikufa saa 9, na adam alikufa saa 9 na alifukuzwa bustanin saa 9 (according to book of adam and eva)
Cc......... bless on and others Great Thinker .......... Mshana Jr

......... Psalm_27 :4....
Neno moja nimelitaka kutoka kwa BWANA, nalo ndilo nitakalo litafuta......... nikae nyumbani mwa BWANA siku zote za MAISHA YANGU....
 
Frequency ya 432 Hz chimbuko lake ni hisabati ya kale ya Pythagoras, na kiroho inaitwa "Mzunguko wa Ulimwengu" kwa sababu inatulia akili, inapunguza msongo wa mawazo, na inaendana na mapigo ya asili ya dunia.

Namba 9 katika ulimwengu wa kiroho inamaanisha Utimilifu na Mwisho wa Mzunguko.

Ndiyo maana matukio makubwa ya hitimisho hutokea saa 9 Yesu kufa saa 9 kukamilika kwa ukombozi, Adamu saa 9 Mwisho wa mzunguko wa bustani na maisha yake.

Kiroho Ni namba ya mwisho (1-9), ikionyesha mwisho wa jambo ili kuanza jambo jipya.
 
Asante sana mkuu... unaweza kufafanua mapigo ya asili ya dunia? na karma kama vina uhusiano....
 
Mapigo ya asili ya dunia kisayansi yanajulikana kama Schumann Resonance. Huu ni mzunguko wa umeme (electromagnetic frequency) unaozunguka dunia nzima, ukisababishwa na mamia ya radi zinazopiga kila sekunde kati ya ardhi na anga la juu. Mzunguko huu mkuu una kasi ya 7.83 Hz, ambayo inaitwa "Mapigo ya Moyo ya Dunia" (Earth's Heartbeat).

Sayansi inaonyesha kasi hii inafanana kabisa na kasi ya mawimbi ya ubongo wa mwanadamu anapokuwa kwenye utulivu mkubwa, usingizi mzuri, au anapotafakari (meditation).

UHUSIANO KATI YA MAPIGO YA DUNIA NA KARMA

Kiroho na kishubiri, mambo haya mawili yana uhusiano mkubwa kupitia kanuni ya Mvutano na Nishati (Vibration & Energy).

1. Sheria ya Mavuno (Cause and Effect).

Karma inasema "unachopanda ndicho unachovuna" au "kinachotoka ndicho kinachorudi" . Kama vile dunia inavyotoa radi na kutengeneza mapigo ya 7.83 Hz yanayorudi kuratibu viumbe vyake, ndivyo matendo na maneno yako unayoyarusha hewani yanavyotengeneza nishati (vibrations).

2. Kuingiliana kwa Nishati (Resonance).

Unapotenda mabaya, unafanya roho yako itetemeke katika kasi hasi na ya chini. Unapotenda mema, upendo, na amani, unajiunganisha na kasi safi ya asili ya dunia (7.83 Hz).

3. Malipo ya Asili

Karma haina jaji, ni mfumo wa asili wa ulimwengu kujisawazisha. Ukiharibu amani ya ulimwengu, ulimwengu unarudisha mawimbi yaleyale kwako ili kurudisha usawa, kama vile anga linavyojirekebisha kupitia radi.

Kwa kifupi, mapigo ya dunia ni mfumo wa nishati wa kifizikia, wakati Karma ni mfumo wa nishati wa kimatendo na kiroho yote yanathibitisha kuwa ulimwengu unalipa na kuitikia kila nishati inayozalishwa.
 
Ahsante.
Hii elimu ndio inaitwaje mkuu!?
 
Elimu hii kwa ujumla inaitwa Metaphysics (Elimu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wa milango ya fahamu au sayansi ya kawaida).

Ukiigawa katika tanzu zake ndogo, inajumuisha

1. Quantum Mysticism / Vibrational Energy

2. Numerology

3. Universal Laws / Spirituality
Ahsante sana ndugu yangu. Nitaifuatilia hii, angalau mara 1 kila week niji familiarize na hivi vitu
Shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom