Kasi ya ushoga Tanzania: Tuwajibike wote

Kasi ya ushoga Tanzania: Tuwajibike wote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,662
Reaction score
870,346
Jana usiku majira ya saa sita usiku kuna kijana wa kiume umri miaka 24 ni member mgeni akiwa na posts 9 tuu, alipost akitangaza kuwa yeye ni shoga na anatafuta basha.

Kwa muda mfupi kabisa post ikajaa taharuki waliomlaani wakamlaani, waliombeza wakafanya hivyo, waliomkashifu kumkejeli na kumtukana pia walikuwepo! Alistahili yote hayo, ni jambo la kinyaa na nuksi kwa tamaduni za Kitanzania/ kiafrika.

Tatizo la ushoga ni tatizo linalofanana na madawa ya kulevya na uchangudoa KUNA WATEJA na wateja tunao kati yetu na ndani ya jamii ni ndugu zetu, ni rafiki zetu ni wapendwa wetu, na wengine ni watu wenye nafasi na nyadhifa kubwa tu ndani ya jamii I we kisiasa kidini au kijamii

Tunapopigia kelele ushoga tusiangalie matokeo tu, Bali hata na vyanzo pia, tusiwe kama miradi ya ukimwi na malaria tunakazana na net na condom tunaacha mazalia na vichocheo vya ngono

Mitandao ya kijamii, magazeti ya udaku na vijarida mbalimbali bila kusahau vibanda vya sinema ni maeneo hatarishi mno kwa vijana na watoto wetu wa kiume! Yanayotokea huko ni upuuzi wa hali ya juu!!! Hapa mwajibikaji mkubwa ni serikali vitengo vya habari TCRA na utamaduni wa Taifa

Wazazi na walezi- wetu wetu tunakuwa busy mno kutafuta pesa na kusahau majukumu muhimu ya familia, wazazi wengi hawana muda wa kukaa na watoto na kuongea nao au hata kuchunguza mienendo na tabia zao, motto ni wa walimu wafanyakazi nyumbani na jamii

Kundi lingine hatari ni ndugu tunaoishi nao, si salama sana mtoto wako wa kiume kuacha alale chumba kimoja na kijana ndugu anayebalehe mwili unawaka tamaa na anakuwa bado hajaweza vizuri kuwaface mabinti

Wazazi wa kiume pia siku hizi ni janga jipya! Baba anagombana na mama anamfukuza halafu anabaki na mwanae tu ndani ya nyumba, kwa mzazi asyejitambua ni hatari kwa mtoto, tumeshuhudia kesi nyingi za namna hii, ya karibuni kabisa ni ya huko mkuranga wiki iliyopita, baba aliyekamatwa baada ya mtoto kushindwa kuhimili ushenzi wa baba wa kumlawiti kila wakati

Malezi ya mtoto wa kiume yamekuwa yenye tension kubwa siku hizi kuliko hata wa kike, wengi wa mashoga wa leo ukiongea nao kwa upole hadithi zao zinafanana, karibia wote walikumbana na hivyo visa hapo juu... Hatujachelewa sana kama tukidhamiria tutaweza kudhibiti hili tatizo
 
Naunga mikono hoja. Cha kuongezea tu ni kwamba hili swala linaanza taratibu ila kunakipindi litakuwa lackawaida iwapo juhudi za makusudi hazitachukuliwa na wanasiasa wetu, jamii na dini zetu pia. ikumbukwe enzi za ukimwi watu waliogopana sana lakini ilipofika hatua wazungu wakawekeza na kukakwa na pesa ndani yake ukimwi sio tatizo tena kama zamani.

najaribu kurejea baadhi ya story nilizosikia kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa kuna mradi unao watetea hawa watu ili wapate haki zao ikiwemo matibabu na atake jitolea kuwasemea basi atapewa gari na malupulupu mazuri..sijajua ni nani aliyejitolea ila nimesikia kunawatu wa namna hiyo.

Naamin hili swala ni swala mtambuka hadi hapo jamii itakapo jilekebisha na kukataa ukoloni mambo leo. ifike hatua wazungu wa kikoloni wawe wanachambua kwanza vitu vya kutulazimisha kufanya. Mungu saidia jamii yako iwe salama.
 
Suala la ushoga ni suala ambalo ni nyeti sana na hapa

kila mtu atazungumza kwa hisia zake.

Mashoga wengine tunawaandaa sisi wemyewe wazazi

kutokana na lifestyle tunaloishi na wanakuja kwa kasi

kuna mashoga kweli kuna wakati huwezi kuwalaumu

ila kuna wengine wanachukulia kama sifa za kipumbavu


Kuna picha moja ya watoto wa kiume walikuwa wanacheza

ufukweni huko Dar mmoja amuingiza kidudu m.a.takoni

huku anacheka mbaya zaidi watu wazima walikuwepo

na wao wanacheka wanaona ni kawaida tu.

Asilimia kubwa haya mambo yanaanzia humu majumbani

mwetu.


KWA MAONI YANGU USHOGA HAUJI KUKOMA

NDIO KWANZA KUMEKUCHA
 
hili janga ni hatar sana kwa maendeleo ya taifa.
Embu vuta picha ni nguvu kazi kiasi gani inayopotea kisa huu ushetani!!!!?
 
Wimbi la ushoga ni kweli limepamba moto. Vijana watoto wako hatarini kuiga tabia hii kwasababu mashoga wengi wa sasa wanajipenda na kuwa na muonekano wa kisasa kwasababu wanakuwa financed na mashoga ambao wana good financial influence. Sasa hii ni hatari maana kijana akiona hao mashoga wanavyoonekana wakitamani kuwa na muonekano na kipato hicho lazima wajikute wanadumbukia ktk ushoga. Kiujumla hali ni mbaya. Na mbaya zaidi hawa mashog wa network ya ajabu mnoooo
 
Mashoga wa siku hizi wamekuja na approach mpya kabisa sio kipindi kile cha kina aunt mudi sijui aunt asu and the like, sasa hivi wako very sophisticated na wako makazini huko na wako very expensive. Wengi wao wakiishi maisha aghali kuliko vipato vyao halisia. Hii inaonesha kuwa kuna mkono mzito behind their gayism movement
 
Katika philosophy kuna kitu kinaitwa moral acceptance..kuna scholars wengi sana wanao advocate moral separation na moral acceptation..inawezekana jamii nzima ikawa haikubali au sehemu ya wana jamii..yes! Way foward nini? How the society should react? Rejea wingi wa mashoga kinondoni na magomeni na zanzibar. Jamii ya maeneo hayo kuna wanaowachukia tena wazi na kuna wanao wapenda cuz ndio wateja wao..ila ukweli ni kuwa its against our morality. So way foward ili watoto wasizidi kuharibika.
1st this people should face charges kama mahakama zinavyozungumzia sheria ya kulawitiana.
2nd jamii should react against this na siyo sapoti; kinondoni mwembe jini karibia na bamboo bar kuna mashoga ya kikongo yamepanga nyumba; yakipita watu hucheka na kusikitika kimyakimya ila hwwajui watoto wetu wanajifunza. Kids learn through imitation and modelling so ni rahisi kuaribu jamii with this elements of moral acceptance.
 
...Kinondoni Mwembe jini karibia na Bamboo bar...

hao waCongo wanapermit ya kuishi hapa bongo..!?.
 
Hii kitu ni serious jamani esp ukibahatika kujua network yao. Achilia mbali hao wanaojinadi; ni hatari when u come to know their secret circle
 
...Kinondoni Mwembe jini karibia na Bamboo bar...

hao waCongo wanapermit ya kuishi hapa bongo..!?.

Yani ni kuanzia mtaa wa Wibu shuka mpaka huko ni shida tupu funny enough wana permits za kuishi na kufanya kazi nchini!!!KAZI GANI? KINONDONI has a story to tell...!!!
 
...This World Of today,
I wonder how our kids are gonna grow up. parents have no time for their kids, nannys our nowadays mothers. a mom/dad doesn't know about her/his kid's home works, kid's favourite subject, the challenges a kid faces at school etc. only the nanny/houseboy knows well of the kid. there is no more parental guidance on some tv programs on wat to watch etc. a small kid has access to internet without the monitoring of the parents. due to this digitalized world, its normal for a daughter to wear pants n sit with her daddy n watch tv 2gethr. a mom approves of her daughter's dress code even if its not respectful. we say we living in a digital life. a son can take dad's car n gout with friends n come back late night without dad' asking. what do you think its the result? haikambe!
 
Yani ni kuanzia mtaa wa Wibu shuka mpaka huko ni shida tupu funny enough wana permits za kuishi na kufanya kazi nchini!!!KAZI GANI? KINONDONI has a story to tell...!!!
Huku Dodoma Uhindini CDA Club wanajipanga usiku na tena karibu wanawazidi Machangudoa wa Kike
nikamuuliza jamaa yangu hapa kuna kijiwe gani mbona wanaume wengi?
akanijibu hao ni Mashoga wanachuana na wanawake kutafuta soko
Hii kitu inatisha ukiwaona walivyojipanga KWELI SASA NI KUKEMEA
 
Back
Top Bottom