Ili kulinganisha mizani nyie majina yenu ni;
Forbidden Fruit Eater
Samson Hair cutter
John the baptist Head requester
Joseph seducer
Snake language translator
Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Wito huo umetolewa leo Agosti 18, 2025 Mkoani Rukwa na Mwakilishi wa...
Kwa wasiofahamu Watanzania wa twitter mwaka 2019 waliwahi kukusanyika kufanya ToT bonanza, hili ni jambo la kushangaza kidogo ukizingatia wengi wao hata hawajuaini na wala sio ndugu, ila waliweza...
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa...
Huyu mama anasumbua sana unapokaribia muda wa kulipa rent. Hashindwi kupiga simu Saa Kumi Alfajiri, na kutuma SMS nyingi kama mvua hata kabla muda haujaisha anakukumbusha kulipa pesa.
Na kwenye...
Raha ya starehe, ifanye usimkere mwenzio, lakini kwa kinachofanyika Sinza, ni kukiuka mipaka ya starehe.
Kila siku zinavyozidi kwenda, baa zinazidi kuota maeneo ya Sinza na nyingi zipo kando...
Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, Agosti 19, 2025, imeendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Meru mbele ya Hakimu...
Hii imetokea 10/08/2025, Goba madale karibu na Joy Eslava , mdada alikua anasubiri kufunguliwa geti alisahau remote ndani. Wakati anasubiri, hao jamaa wa boda wakamvamia. aliweza kuwakimbia ila...
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja mpaka ulipie.. tena Bima ya mwajiriwa
Au labda package kachagua ndogo
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na...
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na...
Sapalala ni wadudu wa baharini, kidogo wafanane na kamba kwa muonekano.
Wao wana rangi ya kahawia au kaki. Na wana miguu mingi midogomidogo.
Sapalala, nawaona sana kwenye ufukwe wa Msasani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.