Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai?
Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo?
CC Rakims, Mshana Jr...
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanastaajabu uwezo wa Lissu kwenye ujasiri na mambo ya Sheria.
Unapoona mtu maarufu kama Hassan Mwakinyo anasema maneno kuashiria kudurufu...
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema.
Genge hili...
Barabara ya NSSF Road, Mbezi Beach, Makonde imekuwa mbovu sana kwa muda mrefu sana.
Hivi NSSF wenyewe, kwa barabara yenye jina lao kabisa, hawawezi hata wakaisambaza level? Hata kwa zege tu?
Sintofahamu kuhusu Chama cha Mpanda Afya SACCOS imeendelea kwa mwaka mzima sasa tangu ofisi zake zifungwe. Wanachama hawajalipwa stahiki zao, na kila mara tunapofuatilia kwa viongozi wa chama...
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo...
REA KUSAMBAZA MAJIKO BANIFU 10,650 MKOANI PWANI
📌RC Kunenge aipongeza REA kwa kuhamasisha matumizi nishati safi
*📌Mifumo ya umeme jua kuchochea upatikanaji wa umeme
kwa asilimia 100 ifikapo...
Dada zetu wa siku hizi wanapenda sana mihogo kuliko bamia😁
Bahati mbaya sasa zile website za x zimewafanya vijana wetu wabadili kilimo kutoka kwenye kulima mihogo—sasa wanalima na kuzalisha bamia...
Please, fuatana nami kwa dakika moja nikuelezee kwanini nimesema kwamba kwa tukio hilo, members wa JF wanaweza sasa kuelewa kuwa Biblia ni kitabu cha kweli. Ni hivi: Kuna members wengi humu...
Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali,
1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control...
Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu:
Siogopi wachawi wala...
Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia...
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya...
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge.
2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama.
3. Chagga Bite Bar, Makumbusho.
4. Mori Bar, Sinza.
5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani.
6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road...
Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na ARDHI ZA BEI NAFUU ( MASHAMBA kwa ajili ya KILIMO NA VIWANJA kwa UJENZI WA NYUMBA )
Ukinitajia top 3 yako inatosha .
Kwa siku chache zilizopita, baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Jiji wamekuwa wakiwasimamisha madereva na kuwatoza faini kwa kosa la kutumia barabara kinyume na mwelekeo, katika barabara hii ya...
Katika kupiga hatua ya Maendeleo kwenye Sekta ya Afya nchini Tanzania, imepiga hatua kubwa kwa kufanikiwa kuanzisha Matibabu ya Upasuaji ya Ubongo , Uti wa mgongo kwa kutumia Teknolojia ya kisasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.