Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,819
Sapalala ni wadudu wa baharini, kidogo wafanane na kamba kwa muonekano.
Wao wana rangi ya kahawia au kaki. Na wana miguu mingi midogomidogo.
Sapalala, nawaona sana kwenye ufukwe wa Msasani na naona Bei Yake ni rahisi kuliko kamba.
Ningependa kujua kwa Kingereza wanaitwaje, watu wa mataifa yepi huwapendelea kuwala nk.
Asanteni wajuzi