Ukisikia Hard Core ni Ben Gvir: Netanyahu ni cha mtoto😅

Ukisikia Hard Core ni Ben Gvir: Netanyahu ni cha mtoto😅

ila hawa jamaa ni kama mashetani aisee! unajua wanaamini kabisa kuwa wao ndio watoto wateule wa Mungu na lile eneo wanaamini Mungu ndiye aliyewapa. ila mimi kinachonishangaza ile ardhi yenyewe ukiiona ilivyo unashangaa wanagombania nini hivi hawa jamaa wangekuja kupewa ardhi yetu hii ya Tanzania na madini yote haya si ndio wangetumaliza kabisa
 
hatari sana hapo middle east
 
Back
Top Bottom