Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

11 Reactions
69 Replies
4K Views
Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa...
0 Reactions
9 Replies
494 Views
Anonymous
Kuna taarifa kuhusu wahamiaji haramu zinazoripotiwa, mfano kuna mmoja ni raia wa DR Congo kwa jina ni mdada na kwa sasa anatumia namba ya Kampuni za Tanzania inayoanzia na 0754****...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki. Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez...
7 Reactions
22 Replies
824 Views
Yaan kadiri Siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ujinga wa waTanzania unazidi kujidhihirisha hadharani..Na sichelei kusema, uenda Tanzania ndio TAIFA linaloongoza kwa kuwa na watu maarufu wapumbavu na...
2 Reactions
18 Replies
640 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Wakuu! Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu? Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Nimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Arusha. Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake kwa kuandaa bonanza la michezo jijini Arusha mwishoni mwa wiki, likikusanya...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu. Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha...
3 Reactions
14 Replies
748 Views
Anonymous
Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Shalom wapendwa, Niwajulishe tu mimi ni mhanga wa zile kampuni zinazojitangaza zinauza viwanja redioni. Unasikia matangazo: “Njoo Jumamosi saa kumi ukaangalie kiwanja chako…” Mimi nililipa, na...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi. Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za...
32 Reactions
145 Replies
6K Views
:: MKuu huyo wa Mkoa wa Tabora mbele ya Waandishi wa habari amesema Rais Samia ameongeza Mapato ya Madini Tabora kutoka TZS 40bn hadi TZS 133bn ndani ya miaka minne(4). Katika kipindi cha 2021...
0 Reactions
13 Replies
684 Views
ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
1 Reactions
7 Replies
460 Views
Naam ni maneno tu yalitumika kupata mwanamke wa aina yeyote.... Ingawa wengine walijaaliwa vitu na pesa (mtama kwa watoto). Kwa vijana wa sasa hawana uwezo wa kumuimbisha mwanamke kwa maneno...
1 Reactions
7 Replies
458 Views
Kwa muda nimekuwa nikitamani kupeleka wanangu Shule za Sekondari za Day ila changomoto inakuwa usafiri. Tumezoea kuona mara nyingi shule zenye utaratibu wa kichukua watoto asubuhi na kuwarudisha...
1 Reactions
2 Replies
294 Views
Nikiangalia jinsi BRT phase I iliyotekelezwa na Strabag na nikilinganisha hii BRT phase 3 ya kwenda Mbagala naona kuna utofauti mkubwa sana katika ufanisi wa kiutendaji. Niombe kuuliza wale walio...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Back
Top Bottom