Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

:confused: waungwana habari za leo? mi nina swali au tatizo moja dogo, kuna namba za magari naziona hapa mjini tena plate yake ni nyeupe na maandishi yake ni meusi, nimeshaona nyingine hiace...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele! Ninahitajika mahali fulani ambapo tutakuwa na watu wa mataifa mbalimbali. Kila mmoja ameagizwa aende na kibendera kidogo cha mezani cha nchi yake (elimu ya uraia pia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A senior Vatican cleric has defended the excommunication in Brazil of the mother and doctors of a young girl who had an abortion with their help. Cardinal Re said the attack on Brazil's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi katika Manispaa ya Zanzibar, wanatarajia kupata huduma ya maji safi na salama kwa asilimia 90. Hiyo inafuatia kukamilika kwa awamu ya pili ya mradi wa maji unaofadhiliwa na Japan...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais, Salva Rweyemamu jana alitoa taarifa inayoonyesha kujikanganya kuhusu makubaliano yaliyofikiwa katika kikao cha ufuatiliaji wa utendaji baina ya Rais Jakaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mtu ameniambia watu wanakimbilia kununua LUKU kwa kuwa system ya tanesco itakuwa offline hadi tarehe 16 kuanzia leo. Hii ni kwa ajili ya matengenezo ya system yao. Kuna ukweli kwenye hii...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
WHEN Maureen Galyon gave birth in 1951, she had no idea she was expecting two babies - let alone conjoined twins. The tots, joined at the torso, were not expected to survive the night as baffled...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wafanyabiashara katika soko la Tandika watabidi watafute makazi mengine baada ya mfanyabiashara ambaye jina lake halikutajwa kuuziwa soko hilo na atatumia shilingi milioni 200 kujenga maduka na...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
'Never again' say Kili celebs By TIM NIXON Published: Today rigTeaserImage THE Kilimanjaro clan have vowed never to climb a mountain again, after being struck down with illness and exhaustion...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mchezo uitwao POWER CLUB (eti wa kutajirishana) unazunguka hapa Tanzania. Mchezo wenyewe unatoka Ulaya, na bahati mbaya kanisa moja hapa Tanzania limejitokeza na kujipa uajenti wa kuendesha...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Halimashauri ya wilaya ya Temeke ni Halimashauri mojawapo inayo ongoza nchini kwa ukusanyaji wa mapato ikifatiwa kwa karibu sana na Kahama. Cha kushangaza na kusikitisha wilaya hii katika barabara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na hii habari kwenye Blog ya Michuzi nikaona ni bora niilete hapa kwa mjadala zaidi. Nimeunganisha na baadhi ya maoni na matukio yanaoendelea katika jiji la Dar Es Salaam. uporaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtanzania auawa kikatili Dubai 2009-03-04 10:56:04 Na Mashaka Mgeta Raia wa Tanzania ameuawa kinyama kwa kutupwa katika mashine za kusaga vyakula huko Dubai, Falme za Kiarabu na mwili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Date::3/3/2009 BoT yabana wanaotorosha mabilioni ya fedha nje Na Ramadhan Semtawa Mwananchi BENKI Kuu Tanzania (BoT) imeanza utekelezaji wa taratibu mpya za uendeshaji Maduka ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu nimekuwa nikitatizwa na mawazo kila nikisikia kipindi cha matangazo ya kifo kuwa mipango ya mazishi inafanyika BAA FULANI. Natatizwa na moyo wangu hasa nikiangalia jinsi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi nilipokuwa naangalia habari ya saa 2 usiku ITV tulionyeshwa watu wakilalamika wilayani Sengerema mkoani Mwanza baada ya Tanroads kuweka mzani wa kupimia magari(weightbridge) kwenye barabara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cheki kwenye link hapo chini jinsi Jamaa alivyoponea chupuchupu kufariki dunia BBC NEWS | World | Europe | 'Miraculous' survival in Turkey
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sometimes I wonder why I was born a Tanzanian . But is there really any thing that can change that? Maybe if my parents had gone on a honey moon out of country before my birth (like is common...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daily News; Tuesday,March 03, 2009 @20:14 Hatma ya nauli ya mabasi kushuka inatarajiwa kufahamika baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kukamilisha mchakato...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wanaojulia lugha za Eastern Europe, Hii artical ipo kwenye Swiss air page (Poland). Nimejaribu kuibadilisha iwe ya Kiingereza ila hawa google wanatafasiri kivyao baadhi ya maneno. Anyway...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom