Temeke mmeshindwa kuweka trafic light barabarani??

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Halimashauri ya wilaya ya Temeke ni Halimashauri mojawapo inayo ongoza nchini kwa ukusanyaji wa mapato ikifatiwa kwa karibu sana na Kahama. Cha kushangaza na kusikitisha wilaya hii katika barabara zake hakuna hata taa moja ya kuongozea magari ...tembelea maeneo ya kwa Sokota,Taifa,Chang'ombe n.k hakuna taa na kama zipo basi zipo likizo.
Hivi swala la kuweka taa barababarani ni la TANROADS? Tunashuhudia ajari nyingi barabarani na foleni nyingi ambazo hazina lazima.
Hili swala nani anapaswa kulishughulikia?
 
Wananchi wa TMK wengi wao ni vyama vya upinzani ,huduma nyingi za miundombinu ni duni ukilinganisha na ILALA na KINONDONI
 
Back
Top Bottom