Pasewadi ya Perfect optimizer mnayo ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pasewadi ya Perfect optimizer mnayo ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiba, Mar 20, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Natafuta pasewadi ya software hiyo ijulikanayo kama Perfect Optimizer 4 ,kuna mtu yeyote anayo ? nasikia hiyo software ni safi sana ,kwa yeyote aliyonayo aniwekee hapa au atuwekee hapa.
  Wengine tunaenda katika huu ulimwengu kidezo dezo tu ,kama mnavyojua CCM ikiondoka madarakani ndio mwisho wetu kuonekana hapa :D
   
 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwisho kuonekana hapa sababu CUF watakuchagua mkuu wa mkoa kwa hiyo utakuwa busy sana au?
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Na wewe wacha ushamba wako! hebu tembelea kona hii kwa nafasi yako
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mbona hamna kitu ,yaani umeita mshamba nikafikiri umeona chochote na ndio unajisifia ukachero kumbe unabahatisha ,haya inaonyesha una matatizo ya kufananisha :D
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Mar 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mwiba uwe smart kidogo na jali kazi za wenzako nunua hiyo bidhaa kama umeona ni nzuri bei ni ndogo tu kuliko kuomba licence ambazo sio legal ukipata tatizo tokana na hiyo software itakuwa mshike mshike unaweza hata kutumiwa virus wewe ukapoteza mamilioni shauri zako
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Mar 23, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Why waste your time on Perfect Optimizer. Ccleaner is just as good or is better than that. Ccleaner is freeware
  http://www.ccleaner.com/download

  Au tafuta Norton 360 ina mambo yote hayo... Na hata ukitaka ya bure unaweza kuipata... tena kwa kurejista kwa matumizi ya miaka mpaka 3.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hamna kitu Ccleaner haifui dafu kwenye Perfect optimizer wanasema hii Optimizer ina kama kajiuchawi ndani yake ,ukiijaribu tu inakupa makosa si chini ya miambili na sitini (269)+ ,hao akina Ccleaner,Registry Mechanic,Shampoo na yule UniBlue ni wabangaizaji tu na zaidi watakufutia na kukubadilishia juu chini unaona unatengeza kumbe unatengenezwa ,ila hiyo nimeona inakaukweli cha kauchawi si unajua waTz kwa juju mpaka bungeni ,hivyo ukitajiwa mambo ya uchawi uchawi unaona hapo ndio penyewe kama haitoshi wameongeza kuwa ina miracke yaani wamekwenda mbali sana ,sasa ndio nataka nione hayo waliyoyasema maana Pc yangu haina tofauti na gari za shamba bodi mjapani injini mjerumani sukani marekani ,ni spana mkononi.

  Ndio ukaona hizo karakana zote ninazo na hata ukitumia moja baada ya nyingine kwa kutumai hakutaonekana makosa kila moja inakuja na yake ,yaani zote zinafanya kazi moja tamaa kwamba moja itakwambia sasa mambo swafi......haya jaribu nyengine itakwambia hujafanya kitu kuna turpet zinapiga kelele ,ndo saa ingine huona ni biashara tu wajinga ndio waliwao ,hivyo nimeamua hakuna haja ya kununua madudu haya ni kuyatafuta tu humu humu kwenye mtandao ,mi nikipata nitawawekea hapa. Nimejaribu ile vuzi haijaweza kuipata sasa huenda nikatumia japo nitaondoka na virusi.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Mar 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nimekuelwa bro! Jaribu kutafuta hapaMininova : The ultimate BitTorrent source!

  Kama ikikataa basi gonga hapa: hapaMininova : The ultimate BitTorrent source!
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  umeshachangia JF?
   
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  Mar 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
Loading...