Mgoyangi
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 184
- 9
Kuna chuo cha madini ambacho kitakuwa kikitoa mafunzo katika ngazi ya Astashahada na stashahada na baadaye kupanda kadiri siku zinavyokwenda.
Chuo hiki kitakuwa katika mkoa wa Shinyanga - manispaa ya Shinyanga - na kinaanzishwa na taasisi inayojulikana kama Earth Science Institute Of Shinyanga ESIS na mhula wake wa masomo wa kwanza unaanza mwaka huu.
NI ukombozi kwa wakazi wa mkoa wa Shinyanga na kanda ya ziwa ambao licha ya utajiri wa madini walio nao - wamekuwa wakiendesha shughuli zao kienyeji na hata kutofaidika na rasilimali zao.
Kisomo katika fani hii kitawakomboa.
Unaweza kugonga hapa kwa habari zaidi:
Earth Science Institute of Shinyanga (ESIS)