Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JF, Watanzania wengi wanapoamka asubuhi kwenda ofisini, kabla hawajaingia ofsini wanatupa macho yao kwenye vichwa vya habari vya magezeti!!! Tukiangalia kwa kina tutaona kwamba waandishi wa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Ombaomba limekuwa ni tatizo kubwa katika miji mikubwa kama Dar es salaam. Upitapo maeneo ya Posta mpya, Fire na Magomeni utakutana na kundi kubwa la ombaomba vijana, watoto na wazee na hata watu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tanzanian shipping agents impose $50 levy per Teu By WILFRED EDWIN THE EAST AFRICAN Posted Sunday, October 26 2008 at 12:08 Tanzanian shipping agents have started collecting a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa natafuta habari moja iliyotoka leo katika gazeti la Mtanzania Jumapili, lakini nimekutana na habari ya Nipashe humu, INAKUAJE? Mtanzania Jumapili
0 Reactions
1 Replies
10K Views
http://en.wikipedia.org/wiki/Ted_Haggard http://www.ted-haggard.com/ Mchungaji Ted Haggard (50), baba mwenye ndoa na watoto watano, alikuwa Rais wa shirikisho la Makanisa ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
DRC diplomats homeless in London BBC News Online Belongings have been stacked near the visa collection point Congolese diplomatic staff have taken refuge at the Democratic Republic...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Running on empty, motor city where houses sell for £500 • Detroit suffers spectacular property market plunge • Subprime crisis left banks with thousands of homes Andrew Clark in Detroit...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
US hopes to make 'flying submarine' 3 hours ago The US military is turning to the realms of science fiction in a bid to invent a flying submarine, authorities said. Designs for a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa taarifa nilizo pata sasa hivi wanafunzi wa CBE-Dar wamegoma kuanzia sasa. Wanagomea matokeo ya supplementary wamefli vibaya mno kwa hiyo wamechukua uamuzi wa kugoma
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wapendwa, Nimekuwa iringa kwa wiki sasa, kitu kinachoniboa ni kwamba kila ifikapo jioni network ya tigo imekuwa ikisumbua. huwezi piga wala kupokea simu mpaka usiku sana. initially nilifikiri...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Unyama wodini! 2008-10-23 19:35:11 Na Emmanuel Lengwa, Mwananyamala. Hassan Salum, mume wa mwanamke aliyeripotiwa juzi kupoteza maisha kutokana na kuchelewa kupewa huduma katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, Nimeona ni muhimu kupost thread hii ya kusikitisha kuhusu mwanafunzi wa kigeni aliyevamiwa na kuchomwa visu UDSM juzi. Kitendo hiki kimetokea katika taasisi nyeti ya elimu, mahali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana Jambo Forum naomba kudadisi yafuatayo kuhusu kampuni wakala za kuajiri (RECRUING AGENCIES): 1. Kwanini wakifanya mahojiano na wewe hawakuelezi kama umefanikiwa au lahasha? 2. Kwa nini...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Pius Msekwa, amesikitishwa na kiasi kikubwa cha fedha kilichotumiwa na chama chake; Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi...hawa wawekezaji ni kwaajili ya JK na wenzake au ni kwamanufaa ya wasio wanachi hii ambao wanajitutumua kwa kutumikishwa bila kulipwa malipo halali, nahao waalikwa wa Sirikali ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Licha ya msongamano wa watu na foleni za magari bado ipo sifa moja kubwa ya uchafu katika jiji la Dar es salaam. Ni sifa ambayo wengi wetu huisahau katika wasifu wa jiji hili la Dar es salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya Zantel imepandisha huduma ya internet kutoka sh.50 kwa MB sasa imefika sh.120 kwa MB. Sijajua wametumia vigezo vp kupandisha gharama kwa kiasi kikubwa nilivyo wapigia cmu wanadai...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu heshima zenu! Nilishiriki kwenye mkutano fulani ambapo jamaa ambaye ana PHD kwenye engineering alitambulishwa kuwa ni Dr. J.J .. watu wakasema mbona hatumwoni akitibu wagonjwa! Ndipo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Imetolewa mara ya mwisho: 22.10.2008 0005 EAT • Mafao EAC:Wastaafu sasa watishia kutumia makomandoo *Waonya wataadamana hadi Ikulu zote *Wataka Rais atumie uadilifu, uaminifu Na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
John Mnyika MAKALA ya mtazamo wa Thomas Ngawaiya, aliyejitambulisha kama Mkurugenzi wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo (CEGODETA), na kuchapishwa na gazeti hili Oktoba 21, 2008 si ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…