Fiesta special-nani aliyetia fora?

Fiesta special-nani aliyetia fora?

eeeh ndo fiesta gani hiyo jamani
badala ya kufurahia inakuwa karaha
Nguli hiyo picha ya pili niwewe binamu ...natania
 
eeeh ndo fiesta gani hiyo jamani
badala ya kufurahia inakuwa karaha
Nguli hiyo picha ya pili niwewe binamu ...natania


Niko kwenye picha 3 kwenye thread juu pale nimekatia mama
 
6.jpg


Hii ndo imetia fora huyu jamaa alie lala kwenye wowowo tukunyema balaa.
 
6.jpg


Hii ndo imetia fora huyu jamaa alie lala kwenye wowowo tukunyema balaa.


Napokea PM za kumwaga wanadai ni mzee wa tukutuku nikakataa wewe ulikuwa na Kaizer nje kidogo ya jiji.
 
Napokea PM za kumwaga wanadai ni mzee wa tukutuku nikakataa wewe ulikuwa na Kaizer nje kidogo ya jiji.

Hahahahaha mm maswala haya ya club iwa simaindishi si unaona hawa jamaa sasa sijui wanastarehe au ndo wanajichosha wenyewe? mm nilikuwa na mpwa Kaizer kama kawa wazee wa Ndovu.
 
Nguli weye hahahaha acha vituko


Ilikuwa raha tupu siunaona kanga tumetandika chini namwimbia mama mashairi mazuri unamjua mama mwenyewe ni nani? BHT usimwambie mtu lakini.
 
Ha ha ha ha

Kweli sisi wabongo hatuna akili hata kidogo.

Hiyo ni Starehe au ni karahaa
 
Huyu ni member mwenzetu anaitwa RADICAL nilihakikisha nimmemfikisha home kwake. Angalia tumboni kwa makini utaona alikuwa amekumbatia nini.

Angalia avatar yangu wewe, unaona mi nafanana na jamaa huyo?
 
Makubwa,Kama kuna jambo mojawapo huwa namshukuru Mungu ni kuniepusha na hobby za mateso kama hizi.
 
Back
Top Bottom