Lini tutaweza kusikiliza Radio za kibongo mtandaoni?

paesulta

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
227
29

Inakatisha tamaa kwa kweli kuwa Tanzania nzima hatuna hata radio station moja mtandaoni zaidi ya radio Maria.Hivi kweli hata Clouds wameshindwa kabisa kustream,tatizo ni nini hasa,ni gharama kubwa au ni uzembe tu kama kawaaida yetu?
pongezi kwa Bongo Radio kwani wao ukienda sehemu zote unawapata,na kwa nnavyojua imebase USA.
inakatisha tamaa kwa kweli.........!!!
 
Back
Top Bottom