Wanawake kukata viuno kwenye majukwaa ni aibu kwa Mwanamke - Mh. Pinda

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=o8i9oy1e-l0&feature=related[/ame]
 
Hapo sijamwelewa muheshimiwa Tatizo kukata viuono? au tatizo wapi unakatia hivyo viuono!! maana Akija Rais yoyote kutembelea nchi pale uwanja wa ndege kunakua na ngoma mbalimbali na Asili ya ngoma zetu ni "wanawake kukata" viuno na hua anachekelea kinoma!! so which is which Mr. PM??
 
hahah na kweli asili ya ngoma zetu za kiafrica ndo hizo
 
Mbona hazungumzii upatikanaji wa umeme, maji, afya na elimu bora kwa watanzania?? Naamini hivi ndo vitu vya msingi kwetu wazalendo wa nchi hii.

Au anataka dada zetu wote wavamie si-hasa (siasa) kama Sophia Simba? Au waanzishe vijitaasisi uchwara kama "wanama"??
 
Hapo sijamwelewa muheshimiwa Tatizo kukata viuono? au tatizo wapi unakatia hivyo viuono!! maana Akija Rais yoyote kutembelea nchi pale uwanja wa ndege kunakua na ngoma mbalimbali na Asili ya ngoma zetu ni "wanawake kukata" viuno na hua anachekelea kinoma!! so which is which Mr. PM??

bakigraundi yake ya alivokua ansomea uchunga kondoooo.....hayo anayaona siyo
 
Mbona hazungumzii upatikanaji wa umeme, maji, afya na elimu bora kwa watanzania?? Naamini hivi ndo vitu vya msingi kwetu wazalendo wa nchi hii.

Au anataka dada zetu wote wavamie si-hasa (siasa) kama Sophia Simba? Au waanzishe vijitaasisi uchwara kama "wanama"??

yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu
 
Viuno asili yetu whether male or female.

Muulizeni PM maji yamejaa mtera? Mambo ya viuno am sure alikurupuka.
 
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...

Hahahaha kibaya zaidi yeye kwenye msafara wake ma V8 yanakuwa si chini 15 alafu na yeye anapanda hilo hilo angeonyesha mfano yeye kwanza no ma V8 alafu yeye apande escudo au pajero au defender wananchi tungemwelewa.
 
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu

Mimi nilifikiri msafara wake zitakuwa Lov 4 na Escudo hakuna Shangingi...... Kumbe duh...sizitaki mbichi hizi
 
huyu mzee bana..acha ni reserve tu comment zangu

Mimi nadhani angetilia mkazo zaidi usimamizi wa wizara zake ambazo kwa sasa sijui zinafanya nini ukiondoa kuandaa matamasha, kongamano na viako...

Ni bora mtu atake viuno lakini anajenga nchi kwa juhudi na uadilifu kuliko kutokata viuno na kuiba fedha na kualiti taifa
 
yaani hili li PM ni bogus sijawai kuona mimi ...huyu si ndio alikataza tuivae suti huyu..na akakataza tusipande Ma V8 ...sasa tusikatikiwe viuno,huyu vipi huyu mzee.agggggh..Wanawake kateni viuno bana msimsikilize huyu
naona umeshindwa kur-reserve comments zako kwi kwi kwi!
 
Mimi nadhani angetilia mkazo zaidi usimamizi wa wizara zake ambazo kwa sasa sijui zinafanya nini ukiondoa kuandaa matamasha, kongamano na viako...

Ni bora mtu atake viuno lakini anajenga nchi kwa juhudi na uadilifu kuliko kutokata viuno na kuiba fedha na kualiti taifa

kiongozi hii nimeipenda sanaaaaa.wacha tukate viuno lakini tuwe waadilifu..kuliko kutokata viuno wakati mijizi ya kutupwa
 
Viuno asili yetu whether male or female.

Muulizeni PM maji yamejaa mtera? Mambo ya viuno am sure alikurupuka.
Sijui alikuwa anamaanisha nini,
 
Attachments

  • pindamsafara.jpg
    pindamsafara.jpg
    34.1 KB · Views: 43
The guy (Pinda) is short sightened (myopic). Anyway msimseme sana anaweza kulia tena. Hizi hotuba kwa nini asiandike kwanza halafu akasoma tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom