Njaa, kinyaa na misosi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njaa, kinyaa na misosi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Nov 23, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wana JF, embu 'assume' umeingia hotelini au mama ntilie, kisha unaagiza 'msosi', msosi unatayarishwa fresh tu. sasa mhudumu wa hiyo hotel/mama ntilie anabeba kukuletea mezani kwako. ghafla bin vuu wakati anakuja huku kabeba 'menu' yote anaanza kupiga michafya na kukohoa mpaka 'kamasi' zinaruka duh! anatumia mikono yake 'mikavu' kujipangusa 'uchafu' wake afu bado anakuletea hiyo 'menu' ili ule! ungekuwa wewe ndio 'mwagizaji' huo msosi ungefanya nini?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  umegusa pointi muhimu sana
  mfano mkiwa ofisini
  we unaweza ku share labda kikombe na wengine?????????
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  we nawe majibu yako yamekaa kushoto!
   
 4. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ningemsusia na kumwambia kula mwenyewe uchafu wako.
   
 5. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi natwanga tuu kwani tumbo langu lina kila mashine ya kuchambua kuanzia uchafu hadi uzuri
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  duh, kweli chamtu mavi
   
Loading...