Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Nov 23, 2009 #1 Ni hivi karibuni manispaa ya ilala imeanzisha jeshi maalum la mgambo la kupambana na wanaotupa uchafu ovyo na kusimamia usafi wa jiji, Ni mda mfupi tu uliopita tangu jeshi hilo lianzishwe, lakini ebu ona hali hii, Attachments daladalauchafu.jpg 51.1 KB · Views: 65
Ni hivi karibuni manispaa ya ilala imeanzisha jeshi maalum la mgambo la kupambana na wanaotupa uchafu ovyo na kusimamia usafi wa jiji, Ni mda mfupi tu uliopita tangu jeshi hilo lianzishwe, lakini ebu ona hali hii,