Kuna mtu mwenye historia ya jumba la magot? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu mwenye historia ya jumba la magot?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Nov 24, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakati wa mwalimu Julias kulikuwa na lile jumba lijulikanalo kwa jina la MAGOT,nini hasa historia yake?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,299
  Likes Received: 22,084
  Trophy Points: 280
  Uzinzi, ukahaba, umalaya, uchangudoa na uchafu wote wa miaka ya sabini hadi tisini ya mwanzoni
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Haliko tena katika uso wa dunia alas! Dar es salaam. Badala yake kuna jengo refu lenye maduka.
  Enzi zake lilisifika kwa vitendo viovu ukizingatia kulikuwa na ukumbi wa starehe - wakipiga bendi kama Fovets of Margots ( bendi iliyokuwa ya akina Marehem Kasheba ENZI HIZOOOOOOOOO).Pia kilikuwa kituo cha starehe cha mabaharia kutokana na ukaribu wake na bandarini.Ngoja utasikia mengi zaidi kutoka kwa wenyewe wenyeji wa DSM akina GT.
   
 4. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,390
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  nasikia hii magot iliwapa utajiri akina dada wengi sana walio wahi mjini nyakati hizo,sababu soko lilikuwa kubwa sana na biashara hiyo ilikuwa ikiogopwa kufanywa na dada zetu!!
   
Loading...