Abiria wa Dar - Moshi/Arusha: Highway restaurant wanatulisha nyama mbichi

Mar 6, 2010
74
0
Ndugu wapendwa kuna hii bar imefunguliwa majuzi kwa wanaopenda kusafir na dar express ,saydady,metro na mengineyo huwa wanapenda kutulazimisha kwenda kula pale...sikuwa najua ni baada ya kusikia ukipeeka gari mnapewa 20 wewe na dereva...sasa hii ni kero kwa abiria

jamani wiki iliopita napita wakatoa nyama mbichi nikawamwagia....nkaondoka majuzin narudi na metro nakumbana na same stupid nyma mbichi wanalazimisha kugawa watu wakafie mbali....chips wameanza punguza mgao huu ni uhni mwenye hotel embu lifanyie kazi wafanyakazi wako hasa dada mmoja na mwenzio mweusi wanabaki kutucheka...mbaya katoto kamoja kameshindwa kula tukaomba hata wampe ilioiva wakaakataa kabisa...hiii na laaana kama si mwisho wa dunia kumlisha mwenzio damu...

Loh11
 
lakini kuna vyakula vingi pale sio lazima ule nyama
 
kwa nini unapanda magari hayo mkuu? hakuna mengine?

hakuna chakuka kingine zaidi ya nyama?
 
yale magari binamu ndio kimbilio letu tunayakubali kwa mwendo, huduma na mengine mengi, na kwenye menu pia maanjumati kibao
 
hakuna mwenye chuki binafsia

tukiacha

dar ex press

metro

kilimanjaro

say dady

mmh zaidi ya ahapo

kaaapande ndeege
 
Ndugu wapendwa kuna hii bar imefunguliwa majuzi kwa wanaopenda kusafir na dar express ,saydady,metro na mengineyo huwa wanapenda kutulazimisha kwenda kula pale...sikuwa najua ni baada ya kusikia ukipeeka gari mnapewa 20 wewe na dereva...sasa hii ni kero kwa abiria

jamani wiki iliopita napita wakatoa nyama mbichi nikawamwagia....nkaondoka majuzin narudi na metro nakumbana na same stupid nyma mbichi wanalazimisha kugawa watu wakafie mbali....chips wameanza punguza mgao huu ni uhni mwenye hotel embu lifanyie kazi wafanyakazi wako hasa dada mmoja na mwenzio mweusi wanabaki kutucheka...mbaya katoto kamoja kameshindwa kula tukaomba hata wampe ilioiva wakaakataa kabisa...hiii na laaana kama si mwisho wa dunia kumlisha mwenzio damu...

Loh11

Ndugu yangu kwanza nikuombe radhi endapo nita kukwaza kwa majibu yangu.

Hayo mabasi nijuavyo mimi yana vituo maalum vya kusimama kwaajili ya huduma ndogo ndogo mfano kwenda msalani na hata kwa chakula na vinjwaji na matunda.

Si dhani kama kuna mwenye kulazimishwa kula chakula ambacho mtu hapendi kukila mara mabasi hayo yafikapo kwenye vituo hivyo.

Pili unapoongelea nyama mbichi inategemea ubichi huo ni katika kiwango gani. Uchomaji wa nyama unatofautiana kutokana na mapendekezo ya mtu, kuna watu wenye kupenda nyama zenye damu damu ambazo ni medium na pia kuna wenye kupendelea nyama ambazo zimechomwa na kuiva kabisa ambazo ni welldone.

Sasa ktk hizo unaweza kuchagua ambayo inakufaa wewe. Kama waona zile za Highway bado ni medium na zina damu ni heri uvumilie usubiri kwenda kula nyumbani kwako au sehemu ambazo unafahamu wanajua kuchoma nyama kwa kiwango chako kwani mabasi hayo hayawezi kusimama kila kwenye kituo wachomacho nyama vizuri. Kwa maoni yangu nyama za pale High way sijaona tatizo lake hata kidogo.
 
wewe nadhani hujapenda tu yale mapishi. mie nimepita pale october 2008 nikakuta hiyo unayoita mbichi (ni ya mbuzi) inaseviwa na chips nilikula hadi nikaapa kila nikisafiri njia hiyo walahi lazima nile hapo!!!!!!!!! najua unaita mbichi kwa kuwa inaonekana nyekundu, lakini huwa meiva sawa kabisa ni mapishi tu mkuu........................

hivi, kwa dar-arusha ukishindwa ndege, kuna usafiri mwingine unaoeleweka zaidi ya dar express???????......... mi sijaona...................
 
Haya ndio matatizo ya watu wenye kusafiri mara moja moja na kula nje ya nyumbani. Sasa kuwamwagia nyama mbichi uliyonunua ulikuwa una maanisha nini mbele ya jamii inayokuzunguka? Kwanini tunashindwa kujifunza, na kwanini tunataka kuonyesha tabia zetu na matakwa yetu kwa njia zisizo pendeza? watu wa jinsi hii huenda hata kwa wake zao au hata wafanya kazi wao wa nyumbani ni tatizo kabisa. Hawakawii kuvurumisha sahani ya ugali ukutani. Ikiwezekana mkuu ondoa hii thread mara moja.
 
Ndugu wapendwa kuna hii bar imefunguliwa majuzi kwa wanaopenda kusafir na dar express ,saydady,metro na mengineyo huwa wanapenda kutulazimisha kwenda kula pale...sikuwa najua ni baada ya kusikia ukipeeka gari mnapewa 20 wewe na dereva...sasa hii ni kero kwa abiria

jamani wiki iliopita napita wakatoa nyama mbichi nikawamwagia....nkaondoka majuzin narudi na metro nakumbana na same stupid nyma mbichi wanalazimisha kugawa watu wakafie mbali....chips wameanza punguza mgao huu ni uhni mwenye hotel embu lifanyie kazi wafanyakazi wako hasa dada mmoja na mwenzio mweusi wanabaki kutucheka...mbaya katoto kamoja kameshindwa kula tukaomba hata wampe ilioiva wakaakataa kabisa...hiii na laaana kama si mwisho wa dunia kumlisha mwenzio damu...

Loh11
acheni ulafi,safari ya masaa sita unataka ule minyama wee utadhani uko kwenye barbecue party,kama zimekushinda piga biscuit na soda yako poowa,kisha ukifika arusha,moshi,agiza msinia wa nyama iliyochomwa ikaiva.
 
Abiria mna uwezo na ni haki yenu kukataa kuburuzwa tatizo ni umoja unakuwa finu miongoni mwa abiria, nyie mna afadhali mlijua ni mbichi sometimes wengine wanalishwa nyama iliyokaa hata miezi mitatu,
 
Mambo ya fitna haya.
mimi nasafiri sana na pale wanachoma nyama poa sana na usafi wanajitahidi sana ,
 
Abiria mna uwezo na ni haki yenu kukataa kuburuzwa tatizo ni umoja unakuwa finu miongoni mwa abiria, nyie mna afadhali mlijua ni mbichi sometimes wengine wanalishwa nyama iliyokaa hata miezi mitatu,

si bora miezi mitatu...huwa kuna kunguru pia wa kuchoma unaambiwa ni kuku
 
lakini kuna vyakula vingi pale sio lazima ule nyama

Preta mwenzio labda mmasai kuna watu wana hobbie ya kula vitu fulani ukimpa fish hapo hamuelewani Lugha
Pole mtoa mada ..lakini wenye hotel inabidi wajirekebishe inawezeka wengi wanalalamika na hawajapata sehemu ya kutoa malalamiko yao!!
 
Haya ndio matatizo ya watu wenye kusafiri mara moja moja na kula nje ya nyumbani. Sasa kuwamwagia nyama mbichi uliyonunua ulikuwa una maanisha nini mbele ya jamii inayokuzunguka? Kwanini tunashindwa kujifunza, na kwanini tunataka kuonyesha tabia zetu na matakwa yetu kwa njia zisizo pendeza? watu wa jinsi hii huenda hata kwa wake zao au hata wafanya kazi wao wa nyumbani ni tatizo kabisa. Hawakawii kuvurumisha sahani ya ugali ukutani. Ikiwezekana mkuu ondoa hii thread mara moja.

Hasira !! njaa inauma nyama mbichi!
 
Ndugu wapendwa kuna hii bar imefunguliwa (siyo bar ni restaurant) majuzi kwa wanaopenda kusafir na dar express ,saydady,metro na mengineyo huwa wanapenda kutulazimisha kwenda kula pale...sikuwa najua ni baada ya kusikia ukipeeka gari mnapewa 20 wewe na dereva:confused::confused:...(wewe ni konda?:D)..sasa hii ni kero kwa abiria

jamani wiki iliopita napita wakatoa nyama mbichi nikawamwagia (ulikula ikakushinda)....nkaondoka majuzin narudi na metro nakumbana na same stupid nyma mbichi wanalazimisha kugawa watu wakafie mbali..(kula wali/ndizi au pata ya bariiiiiiidi kwa hela yako)....chips wameanza punguza mgao (hela yako ndogo ndo maana) huu ni uhni mwenye hotel embu lifanyie kazi wafanyakazi wako hasa dada mmoja na mwenzio mweusi wanabaki kutucheka...mbaya katoto kamoja kameshindwa kula tukaomba hata wampe ilioiva wakaakataa kabisa...hiii na laaana kama si mwisho wa dunia kumlisha mwenzio damu...

Loh11

Majungu plus plus!!!!
 
Back
Top Bottom