major mkandala
Member
- Mar 6, 2010
- 74
- 2
Umewahi kura bangi,je kuna ndugu amewahi kuwasumbua na bangi...hiki kisa ni cha masa matatu yaliopita hapa arusha kimandolu nyumba ya jirani mwanaume mmoja amezoea kura bangi ,..jana akuklaala nyumbani amerudi asubuhi ya leo jamani ni vituko
tukasikia makelele mama anapiga kuomba msaada
tulipofika tukakuta jamaica anavua nguo zote ...baada ya hapo akaanza kuwafwat watu jamani mnaniona nilivyopendeza na suti yangu wakamjibu ndio...yaani akiwa uchi wa mnyama akuna kanga wala shuka aliokubali kuvishwa
akatokea jamaa mmmoja akamwambia umekura suti ya italia akadai amenunu majuzi kabla ajarejea bongo ...mmoja akamwambia sema umefunga tai ndefu sana...akaanza kushika nanii yake hii mbona iko saizi embu njo nirekebishie basi....
Akika skupenda nkaona niwahabarishe wapenda bangi jamani huyu ni kijana wa 35 yrs.