Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa elimu wa singapore amehimiza kuanznia muhula uja kuwepo na somo la kutongoza katika elimu ya awali,, hali hii imetokana na kuwepo mikakati ya kuongezeka nchini humo habari zaidi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wajumbe, Kwa takribani wiki mbili nimekuwa nikipitia viatbu vya sheria kuona uhallai wa kubadilishwa kwa kesi ya braza ditto kutoka kuua mpaka kuua bila kukusudia,Je ni sheria gani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fukuto la fukuta, moshi wafoka, mapovu yanamwagika, CCM imefika njia panda! Ama isuke au inyoe! Hili vurugu la Richmond, likizingirwa na BOT EPA, BOT CIS, BOT Minara, Rada, Kiwira, Buzwagi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namkumbuka sana mzee Maganya, mkazi wa Mara wilaya ya Mugumu, mnamo miaka ya 1980 baada ya vita ya Uganda yule Mzee alikuja na wazo la ajabu sana, mzee Maganya aliamua kujitangazia Uhuru wake toka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Souse:http://www.fredkatulanda.blog.com/ KWA wakulima wa kada mbalimbali kile kipindi cha muda ama wakati ambapo wamekuwa wakikitumia kwa ajili ya kuuza mazao yao baada ya kuyavuna hujulikana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wa JF nina swali kuhusu Jambo blog network Je itaanza kufanya kazi lini? Ni nini madhumuni yake?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo hii nimesoma kuwa raisi kikwete amefungua rasmi TBC tanzania broadcasting corporation, badala ya Television ya Taifa (TVT), swali langu humu ambalo labda kuna mtu anafahamu jibu lake ni kwamba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kawaida mimi napenda kutembelea baadhi ya marafiki ambao ninashirikiana nao kwa njia mbali mbali katika suala zima la kuandaa habari , kuhabarisha , kutafiti na kufanya shuguli zingine ambazo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ilinichukua Muda mrefu sana kuamua kujiunga nilikuwa nasita nikiona jinsi watu wanavyokata hoja kwa NGUVU ZA HOJA na kujibu hoja kwa hoja, na ndivyo nilivyopokelewa nilipotupa karata yangu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF ! Mkapa hamuelewi Kikwete, unaweza ukaona ni kama mchezo flani wa kuigiza lakini ukweli ni kwamba yanaendelea huko nyuma ya pazia ni mazito kuliko yale ambayo tunayaona na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Tunasoma katika historia ya mwanadamu kuwa amepitia katika vipindi vikuu vitano vya maisha vinavyoitwa mifumo au modes of production.Mfumo wa kwanza kabisa unaitwa primitive communalism(ujima)...
1 Reactions
0 Replies
13K Views
When planning a Safari, the starting point is to think about the time of year you wish to travel; the anticipated duration of your trip; the type of accommodation you prefer; your budget and any...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele! Kama kawaida watanzania tunahitaji kujua hii timu mpaka sasa kazi waliyopewa na Mh. Waziri Mkuu wamefika nayo wapi? Status pliiz...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ushauri kwa wanausalama wa Taifa na wanahabari Ridhwan Kikwete, mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anakaribia kuingizwa katika kitendo cha kifisadi. Tarehe 17 Machi 2008 nimepewa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Na Mwandishi Maalum NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Aeleza serikali yake itakavofanza kazi. Ni ishara kwamba safari hii Mzee Jongwe ana mtihani. Je Marekani inasaidia? Morgan Tsvangirai Freedom for Zimbabwe By MORGAN TSVANGIRAI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeguswa sana na uchambuzi wa Gervas nikaona nivizuri niulete hapa Na Gervas Zombwe wa Tanzania Daima WANANCHI wanachangishwa michango ya ujenzi wa shule kwa nguvu. Na kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Speaking at Nakivubo Stadium on Wednesday, where he led thousands of Muslims who celebrated the birth of Prophet Muhammed, Gadaffi asserted that the Bible was not the one revealed to Jesus and the...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
1. Enyi wanajambo, ujumbe upokeeni, Leo hii tumeona, tuje kuwaelezeni, Yote totakayonena, myaweke akilini, Mada zetu ni mwanga wa ulimwengu. 2. Tunawauliza swali, tafadhali sikieni, Yeyote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Boti za askari wa AU zaelekea Anjouan 2008-03-25 09:08:36 Na MORONI, Comoro Boti tano zikiwa zimebeba wapiganaji wa vikosi vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyoongozwea na Tanzania jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…