Ushauri kwa wanausalama wa Taifa na wanahabari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa wanausalama wa Taifa na wanahabari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Paparazi Muwazi, Mar 20, 2008.

 1. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2008
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ushauri kwa wanausalama wa Taifa na wanahabari

  Ridhwan Kikwete, mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anakaribia kuingizwa katika kitendo cha kifisadi. Tarehe 17 Machi 2008 nimepewa nakala barua na mfanyakazi mmoja wa ofisi ya Dean wa wanafunzi wa CBE, ambaye amesema nifuatilia suala hili kwa kuwa yeye anaamini kwamba Dean hatumii nafasi yake kuingilia suala hili kwa kuwa ameambiwa na mtoto wa Rais aliache. Eti kwa kuwa suala lenyewe limhusu mtu ambaye amepewa baraka zote na Lumumba. Wakati ambapo kwa kadiri ya duru za Lumumba kuna wagombea wengine nao wanabaraka za Lumumba. Barua yenyewe inahusu pingamizi ambalo mgombea mmojawapo wa Urais wa wanafunzi, Ally Mayay Tembele ametakiwa kuondolewa kwa kuwa anakosa la kughushi na kuiibia fedha serikali za jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sakata lenyewe liaanzia kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo www.heslb.go.tz ambao bwana Tembele ametajwa kupewa mkopo ingawa ni mwanafunzi wa Diploma. Vigezo vinataka wapewa mikopo wawe wanasomea advanced diploma au degree kama ilivyoelezwa na bodi. Kwa kughushi kwake amevunja sheria ya bodi ya mikopo na. 9 ya mwaka 2004 na anapaswa kufungwa miezi sita. Sasa kutokana na Dean huyo kupewa maelekezo na Ridhwan Kikwete ameshikiniza Tume ya Uchaguzi ikampitisha kugombea Urais pamoja na kuwepo na mapingamizi. Sasa njia pekee ni kwa wanausalama wa taifa, ili kuepusha aibu hii itakayokuja baadaye kumshinikiza Tembele kwa kumpigia simu namba 0713336068 ili ajitoe katika kugombea. Huyu Mayay aliwahi kuwa mcheza mpira wa miguu. Hivyo, watu wa habari za michezo, mpigieni mumshauri ajiondoe kabla hajaanza kuanikwa hadharani. Mambo yote haya Ridhwan anayafanya kwa ‘remote control’ akimtumia pia ndugu yake wa damu anayeitwa Kiwadi ambaye anasoma CBE ambaye ndiye anayemwaga fedha na vitisho. Hebu iepusheni serikali yetu na aibu hizi za kitoto ili nguvu zote ziwekwe kusafisha uchafu wa BOT na RICHMOND.

  PM
   
 2. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani vipi tena? Hii habari ni ya kweli? Mbona mnazidi kunishushia imani kwa nimpendae?

  Asha
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  BI ASHA USEMI HUO....! ANGALIA USIJEKOTIWA " " HAPO BAADAYE KWA WEWE KUWA NA DILI MOJA NA HUYO KIJANA,,,!
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Thanks so much for this piece of info . Kwa mara ya kwanza umeonyesha uwazi wa Upaparazi wako .Daima Tanzania iwe mbele na si kwa JK CCM mbele then Tanzania baadaye .
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wow nimekubali wewe ni muwazi kweli kweli.
   
 6. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inaelekea hakuna mwanausalama aliyeona suala hili lina uzito wake na kuchukua hatua. Taarifa nilizonazo ni kwamba yule mtuhumiwa wa kughushi ni mmoja wa wagombea, kampeni zimeanza jana na zinaisha mwisho wa wiki. Kampeni zake zinafadhiliwa na Ridhwan Kikwete kupitia kwa ndugu yake Kiwadi. Mapaparazi wa michezo fuatileni suala hili mumuanike Ali Mayai Tembele na ufisadi wake

  PM
   
 7. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  "Sasa njia pekee ni kwa wanausalama wa taifa, ili kuepusha aibu hii itakayokuja baadaye kumshinikiza Tembele kwa kumpigia simu namba 0713336068 ili ajitoe katika kugombea. Huyu Mayay aliwahi kuwa mcheza mpira wa miguu. Hivyo, watu wa habari za michezo, mpigieni mumshauri ajiondoe kabla hajaanza kuanikwa hadharani".
  Nahisi JF tunataka tumiwa kiujanja kwa ajili ya uchaguzi huko CBE. Kwanini anasisitiza huyo jamaa ashinikizwe/ashauriwe kujitoa? kwani kufanya hivyo kutamfanya aonekani msafi kama alikua mchafu?

  Kama kuna sababu ya kumjadili huyo bwana ajadiliwe lakini cdhani kama kumshinikiza kujitoa kwa uovu ambao haujulikani kutasaidia.

  jambo la msingi hapa ni kupata habari zaidi juu ya hilo lililosemwa kuhusu Ridhiwani.
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  utaratibu unasemaje mtu akighushi ? sasa si muufate tu au uzito uko wapi.

  halafu kama ni wa kweli wa madai msijenge hio kwenye kampeni zenu na kumtaka yeye athibitishe hizo tuhuma.

  la si hivyo inawezekana huu ni upupu na muendelezo wa siasa chafu za kuchafuana
   
 9. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwandishi yoyote afuatilie ukweli ulivyo. Kwa barua niliyoona hawa jamaa walipitia taratibu zote za kuweka pingamizi lakini system imeshindwa kufanya kazi kutokana na influence ya Ridhwan. Ndio maana nikataka wanausalama waingilie kati. Sasa kwa kuwa hawajafanya hivyo, hili sasa limwagwe tu hadharani.

  PM
   
 10. Nyangumi

  Nyangumi JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2008
  Joined: Jan 4, 2007
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninakuwa na huruma sana na watu wanaomtetea mtu ambaye hawamjui.Ubishoo Tanzania ni tatizo kubwa sana,huyu kijana badala ya kufanya mambo kwa umaniki anataka kutuonyesha ujinga wake kwa kutumia kofia ya babake.
  Kama huko mbele mapingamizi hayakufanya kazi, hata hao wanausalama hawatofanya chochote tangiapo wameoza. Hapa dawa ni kutuanikia hiyo barua tu.Kwa kuwa umeamua mambo yawe hadharani basi usifanye nusunsu.
   
 11. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  sidhani kama usalama wa taifa wana muda wa kufuatilia mambo kama haya kwani wengi huko wamejaa uozo tu na kulinda masilahi ya wezi wa ccm!
   
Loading...