Gadaffi: "Holly Bible is FAKE"!!


Pope

Senior Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
117
Likes
0
Points
0

Pope

Senior Member
Joined Dec 3, 2007
117 0 0

Speaking at Nakivubo Stadium on Wednesday, where he led thousands of Muslims who celebrated the birth of Prophet Muhammed, Gadaffi asserted that the Bible was not the one revealed to Jesus and the Old Testament was not the one which Moses received from Allah.

In the process of doctoring the Bible, Gadaffi argued, the reference to Mohammed had been deleted. He added that any scripture that failed to mention Mohammed was fake. He, therefore, called for the search for the ‘original Bible’.

So that the Current Bibble is FAKE?

By
New Vision-Uganda
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,139
Likes
733
Points
280

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,139 733 280
WATU HUTAFUTA UMAARUFU KUPITIA VITU MAARUFU ILI WAONEKANE MAARUFU.............BADO HATUJASAHAU ALIVYOMSAPOTI NDULI IDDI AMIN KATIKA'jihad' YA KAGERA KTK MIAKA YA 1978/79.......ALIJIONA YUKO RIGHT NA NYERERE WRONG KABLA HAJAPEWAA POWs WAKE KUPROVE YEYE NDO ALIKUWA FAKE KATIKA MAAMUZI YA KUMSAPOTI GAIDI NDULI AMBAYE HATA KTK MAZIKO YAKE 100s WALIUDHURIA TOFAUTI NA MAZIKO YA JKN!
HAYA NI MANENO YANAYOTOKA KTK KINYWA CHA MTU AMBAYE (hiv ghadaf ni mwarab au mwafrika?)NI KIONGOZI KTK AFRICA.......BARA AMBALO LINA MCHANGAYIKO WA BELIEFS......TOFAUTI NA UKIWA CHINA,INDIA,MIDO ISTI, USA NK
KAULI KAMA HIZI ZA KUOGOPWA KAMA UKOMA....!LET ME GUESS STH.....HUENDA VURUMAI ZILITOKEA BAADA YA KUTOA KAULI HII TATA......!
 

Pope

Senior Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
117
Likes
0
Points
0

Pope

Senior Member
Joined Dec 3, 2007
117 0 0
Nakubaliana na wewe kwa 100% mkubwa....
Kama Karume nasikia alisukumwa alipokuwa akivua Viatu aingie Msikitini hii ni dharau gani jamani?
 

Pope

Senior Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
117
Likes
0
Points
0

Pope

Senior Member
Joined Dec 3, 2007
117 0 0
Karume aenda Uganda kwa ziara
Mwandishi Wetu
20 Machi 2008.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume, ameondoka nchini jana kwenda Uganda kwa ziara ya kikazi, akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete.

Rais Karume, ambaye atakuwapo Uganda kwa ziara ya siku mbili, atashiriki katika ufunguzi wa msikiti mkubwa katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara uliojengwa nchini humo pamoja na kuhudhuria katika maadhimisho ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W).

Katika ziara hiyo, Rais Karume amefuatana na viongozi mbalimbali wa dini na serikali akiwamo Burhani Saadat, Ali Mzee Ali, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Ali Khatib Mranzi, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Harith bin Khelef, Sheikh Burhan Idd.

Wengine ni Spika wa zamani wa Bunge la Afrika Mashariki, Abdulrahman Kinana, Mjumbe wa Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, Sheikh Suleiman Gorogosi, Sheikh Fadhil Soraga na Sheikh Thabit Noman Jongo.

Habari Leo
 

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,611
Likes
308
Points
180

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,611 308 180
Yeye kama kweli anajua dini ya kiislam kwa nini anatembea na wanawake wakiexpose nywele zao nje?

Jee dini ya kiislam inaruhusu waisilam wanawake kuwa wanajeshi? Is that double standard au?

Please guyz don't pay atantion to that looser dictator. This OIL leaders use their resources to terrorise other people mind and other people economy. Shame and shame on him
 
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,288
Likes
2,998
Points
280

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined Nov 5, 2006
9,288 2,998 280
..............huyu ghadafi ana matatizo ya akili....na siku akija tanzania lazima tumlishe nguruwe...ndio maana anakula wale mabinti anaojidai ni wapambe wake....

...haeleweki ..kwanza wakati museveni anapigana huyu ndie aliyekuwa anamuunga mkono amin ili uganda iwe nchi ya kiislamu...leo anamkumbatia museveni ..sijui anataka nini....nadhani museveni naye anafaidika!!!
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,836
Likes
82
Points
145

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,836 82 145
Uganda ni Nchi ya Kikiristo zaidi kuliko Uislam .Kwa kutamka haya maneno anamweka Museveni na waislam wa Uganda matatani maana ana instigate na baada ya sherehe anaacha vurugu .Kweli jamaa ni baradhuli huyu .Anasema Biblia ni kitu gani ati ?Kawalate waganda shida sasa.

Hizo commnts zake zingalisemwa na mkristo ungalisikia jana watu wamekufa nw akuandamanba na rioting .Maana hawana uvumilivu hawa lakini amepond Bible watu wana jadili bila ya ugomvi.Wawe wavumilivu vikatuni vikichorwa maana havina tofauti na matamshi ya gaddafi dhidi ya biblia .
 

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,375
Likes
1,519
Points
280

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,375 1,519 280
Yeye kama kweli anajua dini ya kiislam kwa nini anatembea na wanawake wakiexpose nywele zao nje?

Jee dini ya kiislam inaruhusu waisilam wanawake kuwa wanajeshi? Is that double standard au?

Please guyz don't pay atantion to that looser dictator. This OIL leaders use their resources to terrorise other people mind and other people economy. Shame and shame on him
Hii kauli ingetolewa Na askofu kuhusu QURAN ungeona jinsi maandamano yangepamba moto na hata kuchoma makanisa.
 
Joined
Mar 21, 2008
Messages
49
Likes
0
Points
0

mukombosi

Member
Joined Mar 21, 2008
49 0 0
Nakusupport Lunyungu.

Mbona sisikii,waislamu wakichangia hili?Au wamefurahi kashfa zilizotolewa zidi ya wakristo?Nakumbuka yule teacher wa Tanga alivyoburuzwa kwa kuukosoa msaafu,takribani nchi nzima waling'aka zidi ya huyo teacher na other christian.
Nauliza hata hao waliokuwa naye walishindwa kumchapa swali?Ni vema watz tujihoji kama mkuu wa nchi anakashfu dini ya wengine,hivi waumini watafanya nini?si ndio maana movement za ngijangija na mapanga haziishi?

Infact hatuhitaji ushauri juu ya biblia yetu,haiwahusu hata kidogo.shut up.

All christian in tz na dunia kwa ujumla,lazima tuje jibu mashambulizi ya uhakika,na nina amini siku hiyo itakuwa mwisho wa kila kitu na dunia kwa ujumla.
Mungu tujalie ktk hili
.
 

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160
..............huyu ghadafi ana matatizo ya akili....na siku akija tanzania lazima tumlishe nguruwe...ndio maana anakula wale mabinti anaojidai ni wapambe wake....

...haeleweki ..kwanza wakati museveni anapigana huyu ndie aliyekuwa anamuunga mkono amin ili uganda iwe nchi ya kiislamu...leo anamkumbatia museveni ..sijui anataka nini....nadhani museveni naye anafaidika!!!
Wanadai wale walinzi ni mabikra....
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,836
Likes
82
Points
145

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,836 82 145
Nakusupport Lunyungu. Mbona sisikii,waislamu wakichangia hili?


hata na nyinyi mnayo haki ya kuandamana....


Nungwi
Sisi tunatumia akili sana na hoja tunaikabili kwa hoja .Huwezi kusikia mkristo anakurupuka kuandamana kisa Biblia imekashifiwa no .Watu tuna uelewa na ndiyo maana tunajadili hapa bila dhahma . Wakristo hawana historia ya kuua kwa ajili ya dini japokuwa ilitokea wakati fulani wa Roman empire lakini wakajifunza kwamba wafia dini kama akina Kalori Lwanga, na Kizito na wenzake wa Uganfa waliuawa kwa kumtii Mungu na si kuua watu kwa ajili ya dini.Mtakatifu Padre Valentine ambaye siku hizi mmegeuza siku ya ngono ya Feb 14 alikufa kwa imani yake ya upendo na kuendelea kuwafungisha watu ndoa na kupenda maisha si kuua kisa dini .Ukiwa na akili ndogo na fedhuli lazima utaogopa ukweli nahoja ikitolewa ikakushinda na frustrations zako utaanza kuua kwa jina la dini ama kitabu chako unacho kiamini .
 

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160

Forum statistics

Threads 1,204,823
Members 457,566
Posts 28,171,694