Waziri Wa Singapore Asisitiza Somo La Kutongoza

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,783
23,240
Waziri wa elimu wa singapore amehimiza kuanznia muhula uja kuwepo na somo la kutongoza katika elimu ya awali,,
hali hii imetokana na kuwepo mikakati ya kuongezeka nchini humo
habari zaidi zinasema katika hili watasisitiza hasa jinsi ya kumtongoza mwenzi wako mpaka akubali na jinsi ya kuongeza familia katika jamii,,,,,,waziri huyo amesisitiza kwamba kumekuwepo na idadi ndogo sana miaka inavyozidi kuendelea bila kuwa na mikakatai ya kufanya,,research iliofanyika imeonyesha wasingapore wengi wamekuwa waoga sana tangu kutangazwa kwa liougonjwa la ukimwi na asilimia kubwa kuamua kuishi kivyaovyao,,,,
HOJA:::
tunamwomba waziri wa elimu wa tanzania awasiliane na waziri mwenzake kuweza kupeleka walimu waliokubuhu katika shuguli hii na katika kumsuprise akachukue wale watoto....wqa ZANAKI NA JANGWANI wanaoweza kuwaaproach wanaume na vinguo vya wakiwa na umri wa miaka 15-20,,itakuwa vyema tukapata ajira kwa hili na watu kuweza kujisomesha uko mbeleni

wana JF TUNAOMBA HOJA KWA HUYU MH::::::
 
Tatizo vitoto vya kiasia vimezidi u geek, viko katika mi computer na mi video game huko kutongozana saa ngapi?

Sie hata umeme hatuna, entertainment iliyobaki ni ile aliyotupa mungu.

Saa nyingine ni mambo ya socio-economic factors tu.Kutongoza hafundishwi mtu.
 
Wanipe mie hiyo kazi, before tax ya USD 5 /hour inantosha sana..marupurupu najua ntapata wapi...LOL..
 
Sie hata umeme hatuna, entertainment iliyobaki ni ile aliyotupa mungu.
QUOTE]

Afrika hiyo babake! SALUTE MKUU PUNDIT! Umegonga ikulu kabisa!

Nilivyokuwa shule niliambiawa kwamba population yetu inaongezeka kwa sababu ya umaskini. kwa sababu hatuna umeme na mafuta ya taa at times, kwa hiyo familia nyingi zina kula "dinner" saa kumi na mbili jioni wakati jua halijachwea, sasa jiulize tangu saa kumi na mmbili jioni mpaka saa kumi na mbili asubuhi watu wanafanya nini kitandani? Ohhh..you guessed right!
 
Maweeeeeeeeee!!!!!! Kwa kweli mila zinatofautiana. Kwa hiyo watakuwa wanapata hata tuition. LOL
 
Back
Top Bottom