Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi shule za chini hakikisha anasoma ili apande darasa, na ajue hisabati na kingereza na mtafutie tuition nzuri hata kama akisoma cheap schools , ana nafasi ya kuwa vizuri kwenye elimu kama...
18 Reactions
53 Replies
2K Views
Ni ngumu na mara chache sana ukishavuka 30 eti u-develop addiction mpya. 🚨KULA KUPINDUKIA FAST/JUNK FOODS 🚨KUNYWA KUPINDUKIA CARBONATED DRINKS 🚨 KUPUMULIWA KIFUA 🚨CLUBBING/PUBBING 🚨BETTING NA...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Wengi bado tunaangaika, si tajiri wala si masikini, si wazee na wala si vijana, wote wapo kwenye heka heka za hapa na pale; haijalishi kwa siku wanapata kiasi gani, bali wako kwenye heka heka tu...
11 Reactions
106 Replies
2K Views
I got infected in 2006 when I was 18 and just about to finish my high school, looking forward to uni the following year... My then boyfriend who was way older than me and who probably knew...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Nguvu zetu za ndani zinaweza kuwa msingi wa mafanikio au kikwazo cha maendeleo yetu. Tunaweza kujifunza jinsi ya kuzijenga na kuzibadili kuwa chanya ili kupata utulivu, furaha, na mafanikio...
3 Reactions
2 Replies
899 Views
Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako. Ni dada...
12 Reactions
138 Replies
4K Views
Imekuathiri vipi kwa maisha yako ya ukubwani?. Je umekulia kwenye familia ambapo wazazi Walikuwa na excessive controls na kukudhibiti kwa kila hatua yako ya ukuaji kiasi cha kukuathiri...
5 Reactions
32 Replies
938 Views
Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa. Ninavutiwa na hao...
14 Reactions
71 Replies
9K Views
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Ni sekta isiyovuma lakini yenye kipato cha kueleweka na vijana wengi wamejiajiri na wengine wamepata connection kupitia bustani za maua na maua Ua ni pambo la asili lenye kuburudisha, kutuliza...
6 Reactions
228 Replies
6K Views
Habari wajuzi naomba nijibiwe swali langu hili ? Je nikosa kumuua nyoka kama huyu kwenye sehemu ya mgodi ? Kama ni kosa je kwanini ?
0 Reactions
13 Replies
640 Views
Habarini, Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae...
13 Reactions
75 Replies
2K Views
Wachunguzi wanasema hivi: Both Upepo Energy and Astra Energy are early stage exploration companies in renewable energy. These guys at Upepo Energy are backed by a Venture Capital firm that...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana. Ni hisia gani hizo za hofu...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu...
18 Reactions
76 Replies
2K Views
🌲 isio na asili ya kupendwa na popo 🌲 Isio na asili ya kupukutisha matawi/maua/mbegu kiholela mara kwa mara 🌲Isiwe prone kwa wadudu/pests 🌲Isiwe na mizizi ya kuharibu miundombinu katika...
3 Reactions
15 Replies
607 Views
  • Closed
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Aisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au...
5 Reactions
15 Replies
664 Views
Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Back
Top Bottom