Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Dellilah Kimambo, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
4 Reactions
11 Replies
492 Views
Naulizia kwenda hiyo sehemu ni lazima kupanda magari ya mkoani yanayoenda Mikoa ya kusini au kuna daladala au magari madogo yanayoenda huko?
2 Reactions
23 Replies
700 Views
Nianze mimi Walioleta mafanikio CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu...
5 Reactions
20 Replies
938 Views
Nadhani ma IT wa CRDB Leo ndio siku ambayo wameona ugumu wa ajira yao. Asubuhi leo watu wameamka mamilionea ghafla jamaa wakachomoa betri kwa kukata baadhi ya huduma.
10 Reactions
76 Replies
6K Views
- Mungu aliona aweke mashino mawili ambayo yote yameunganishwa kwenye pipe moja ya juu hivyo shimo moja likiziba jingine litatumika kama dharula. Mungu akaona kuwa pua inapaswa kuwa na uwezo wa...
5 Reactions
21 Replies
683 Views
Wakuu! Kuna video hii ina sambaa mitandaoni ikimuonyesha mtoto wa miaka 14 kutoka Don Bosco, Iringa, akifanyiwa ukatili mkubwa na hatimaye kudaiwa kuuawa kwa tuhuma za kuiba parachichi...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako. Utakula nini? Kama ndio...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Anonymous
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye . Amesema mtu anapataje ujasiri wa...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Ndoto yangu kuwa na moja wapo wa hizi passport za hizi nchi Afghanistan, East Timor, South Sudan, Bangladesh, Yemen, Somalia, Chad, Niger, Mali, CAR, Burundi, Haiti na Nepal. Yani nitafurahi na...
9 Reactions
21 Replies
829 Views
Watafiti wanadai hii inatokana na mazingira duni "darkie" anapitia. Nigger anasavaivu shida na dhiki anavyokua. Na akizikamata anatafuta attention kwa fujo, dhihaka na madharau.
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Hivi hawa watabe wawili GSM na Mo Dewj ninani tajiri zaidi?
1 Reactions
2 Replies
572 Views
Yaani nafikiria tu nikiiba naweza kesho nikaenda kwa mwenyewe nikamuomba msamaha na akanisamehe. Haya sasa je ukimtoa mtu roho hata ukaenda mbele za mungu kuomba msamaha bado utakuwa hauna amani...
4 Reactions
6 Replies
411 Views
Habarini mabosi! Nitajieleza kama muhusika ili iwe rahisi kueleweka. Mfano, nimezaliwa 2000, cheti cha kuzaliwa kipo,kadi ya kliniki ipo. Bahati nzuri ama mbaya nikapata fursa ya kazi mwaka...
0 Reactions
6 Replies
346 Views
Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga...
0 Reactions
47 Replies
17K Views
Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwema wakuu, naomba kuuliza je ni documents gani naweza kwenda nazo kujiandikisha ili kupata kitambulisho cha Taifa (NIDA)? Sina cheti cha kuzaliwa ila ninakitambulisho cha mpigakura tu. Pia...
2 Reactions
17 Replies
823 Views
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya...
54 Reactions
582 Replies
21K Views
Back
Top Bottom